How many points Chelsea is atop? Ninakuvyokusoma ni kwamba Chelsea atapoteza gemu zote zilizosalia huku Spurs wao wakishinda zote.
You are day dreaming young boy!
Kwa kweli kipigo kilikuwa kitakatifu mkuu..Niwatakie easter njema blues wote Leo ndio siku ambayo ule msemo hakuna mkate mgumu kwenye chai unaendelea kuwa kweli" kipigo tunachoenda kukiachilia Trafford ya zamani ,tuwe nao makini pengine tutazikosa hata salamu zao
Magoli yenu yakaota mbawa mkuu..Rahaa siyo rahaa! rahaa jamani. Leo magoli yetu tunapata mapema alafu tunaanza kula jurubiti
"Penalt" zikaota mbawa na shughuli ya mvuta bangi ukaiona mkuu..kinachonipa furaha zaid yule mvuta bange Baily anacheza, tuna penalt yetu moja ..........
Mbili, na ya Rojo.
Kwa kweli kipigo kilikuwa kitakatifu mkuu..
Magoli yenu yakaota mbawa mkuu..
"Penalt" zikaota mbawa na shughuli ya mvuta bangi ukaiona mkuu..
Hazikupatikana mkuu, Hazard alikuwa mfukoni mwa kijana mwenye sura ya mtoto!
Palace alikufanya nini hapo kwenu?Spurs bado ako na Utd, arsenal na everton na Leicester City na crystal palace na hull city.
Leicester City away
Everton away.
---------------------------------------------
Chelsea ako na game mbili tu away na zingine zote home..
Enhe baada ya man utd kufufunga
Nani mwingine atafuata?
Spurs bado ako na Utd, arsenal na everton na Leicester City na crystal palace na hull city.
Leicester City away
Everton away.
---------------------------------------------
Chelsea ako na game mbili tu away na zingine zote home..
Chelsea itafungwa mechi zote zilizobakia na Liverpool itashinda zote,Benteke kakupiga hapo hapo kwako kama ambavyo week hii Tadic anakutandika hapo hapo kwako!EPL haina nyumbani wala ugenini!
Book print ya kumkaba Hazard ishapatikana na kila kocha ataiboresha tu
Spurs bingwa!
Sawa ngoja tusubiri.Hupati hata sare kwa Everton
Beki wako hawa Lukaku anayo hat trick
Soton anapata point kwako
Then rasmi WBA ndiyo anapigilia nail ktk jeneza lako!
Hauna team ya kuchukua ubingwa as reveals now Kante is avarage player
Mmeanza kunyookaChelsea itafungwa mechi zote zilizobakia na Liverpool itashinda zote,
Majogoo watakuwa mabingwa msimuu huu
Rashford amecheza game zote 3 Man u walizocheza against Chelsea this season siamini Kama hizo mbio kazipata juzi tu!!! ni mchezaji mzuri ila msianze zile habari za new Ronaldo maana mnajua ma new Ronaldo wote waliokuwepo hapo man u wameishia wapi, muacheni dogo akue taratibu bila media hypeWachezaji wa Man U wana mbio
Rashford kaonea beki yetu mara zote 3 ana mbio kuliko wote
Young na Valencia vile vile
Kutokuwepo kwa Alonso
Haijirudii tena hiyoPalace alikufanya nini hapo kwenu?
Conte ameshalifanyia kazi na tayari dawa yake imeshapatikana...Benteke kakupiga hapo hapo kwako kama ambavyo week hii Tadic anakutandika hapo hapo kwako!EPL haina nyumbani wala ugenini!
Book print ya kumkaba Hazard ishapatikana na kila kocha ataiboresha tu
Spurs bingwa!















