Kama una uhakika kwa nini umeweka pesa ndogo sana?Pesa nimeweka kwa The Blues, na nina hakika lazima walale hiyo siku
Pesa ndogo...?Kama una uhakika kwa nini umeweka pesa ndogo sana?
The Buluuz watalala, watazimia au watasinzia?
Mh hapa kwa kweli sijaelewa lengo la Conte kwa kweli. Naona ana mpango wa kumpasua mapafu N'golo Kante tu.ushindi upo kweli leo?![]()
Kwa kweli leo sijaelewa hata kidogo kikosi hiki, ila acha nimuamini kocha tu kwa kweli.ushindi upo kweli leo?![]()
Alikuwa na Bandage kweli ila sidhani kama ni kitu, tungeshasikia....lets hope for the best tu leoHazard naye kama nimemwona na bandage mguuni sijui majeruhi ama swagger tu. Ila kama majeruhi ndo yanatukumba namna hii nitamsamehe akiuza FA kuokoa EPL. Ni heri tushinde EPL kuliko kupanga wote leo halafu tukose watu wa kucheza mid week. We need fit people against everton.
Natamani maneno haya yatimie ila Spurs yupo full nondo nasi kikosi bado sijakielewa.Jamani leo tunashinda msiwe na wasi wasi.
Yani Spurs kaweka kikosi choteeeeee anatamani angeambiwa achezeshe wachezaji 12 nahisiNatamani maneno haya yatimie ila Spurs yupo full nondo nasi kikosi bado sijakielewa.
Najipa matumani ya kwamba tubane tusifungwe dk ya 60 waingie akina Hazard labda Spurs wanaeza wakawa wamechoka kidogo. Ila tutaeza kubana....acha niwaamini wachezaji na kocha wetuYani Spurs kaweka kikosi choteeeeee anatamani angeambiwa achezeshe wachezaji 12 nahisi
Mkuu tutakaza tu ..namwamini Antonio!Natamani maneno haya yatimie ila Spurs yupo full nondo nasi kikosi bado sijakielewa.