Angalia nyuma Noah nyeupe inakusogelea.Haijirudii tena hiyo
Angalia nyuma Noah nyeupe inakusogelea.Haijirudii tena hiyo
Nipe Namba zako aiseee tuwasiliane tuonane....Angalia nyuma Noah nyeupe inakusogelea.
CAPTAIN. LEADER. LEGEND. Let's give JT a proper sending off by winning the Double!![]()
Saa 8 iko wapi? Ile Ulimboka umeisahau?Nipe Namba zako aiseee tuwasiliane tuonane....
Usiogope Noah
Teh Teh Teh TehDouble?Unaota au?Hata moja hupati!
Tots anakubamiza easy FA weekend hii
Sasa si ndio hiyo nakuomba namba niongeze marafikiSaa 8 iko wapi? Ile Ulimboka umeisahau?
Ntuza chapa kazi tu. Nasema chapa wote tu.

Roma Mkatoliki ni rafiki yako pia?Sasa si ndio hiyo nakuomba namba niongeze marafiki![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahhaha wakabidhi tu ila ndo tushaheshimiana..... mzee wa mind the gap sijamuona kabisaaaa!!!Mimi nipo Segerea hapa nazisubiri Ntuzu na Mentor ee nimkabidhi "ndoo" yao.
Kalou huwa anasema "do not mind ze gap".
Khaaaa!!! Kisa nini embu toa hiyo mikono machoni,nimekuham sana ujue....Silali na wewe.....
Na siongi na wewe tena nje.....
Hahahahaha Mind the gap umenifurahisha umemjibu Root as if ni Man United hahahhaha, Root ni blue mwenzako huyo kuchanganyikiwa na kipigo hadi unamsahau mwenzio hahahahahhah!!!Rashford amecheza game zote 3 Man u walizocheza against Chelsea this season siamini Kama hizo mbio kazipata juzi tu!!! ni mchezaji mzuri ila msianze zile habari za new Ronaldo maana mnajua ma new Ronaldo wote waliokuwepo hapo man u wameishia wapi, muacheni dogo akue taratibu bila media hype
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Hahahhaha wakabidhi tu ila ndo tushaheshimiana..... mzee wa mind the gap sijamuona kabisaaaa!!!
Ndiyo sweet tumeheshimiana maana ulikuwa ushanifanya kibonde wako ...... sadahiv tukicheza wote tena utacheza kwa stepkATIKA MECHI TATU MSIMU HUU UMENIFUNGA MOJA NA BADO UNASEMA TUMEHESHIMIANA!?????

Wewe hela yako unaweka wapi? Man City au Spurs?Nimejibu content , 6 Games to GO, hela yako unaweka wapi Chelsea au Spurs ?? au kwa majogoo ??
Pesa nimeweka kwa The Blues, na nina hakika lazima walale hiyo sikuWewe hela yako unaweka wapi? Man City au Spurs?
hihi yakina lojo au nyingine!