Heri Balantanda na Wenge Musica wamejitahidi kuwa wastaarabu, KwasaWacha yupo wapi na kundi lake laMbu na Icadon? What a lovely game!
NitakuPM kiongozi ni raha tu hapa!
Hongereni wakuu.......
NitakuPM kiongozi ni raha tu hapa!
Heri Balantanda na Wenge Musica wamejitahidi kuwa wastaarabu, KwasaWacha yupo wapi na kundi lake laMbu na Icadon? What a lovely game!
Congratulation THE BLUES
FA cup itakuwa bonus tu mkuu ,leo hii ndio yenyewe.Bring on Pompey now!
Tumechoka kubeba kila siku ngoja tuwaachie na nyieNext year mje kutupongeza tena!
Hahaha ataonekana mida hii? Lakini bahati vijana wake wamefanya kweli, am happy for Arsenal's victory eitherOya Masanilo sijamuona rafiki yako Wacha hivi karibuni