Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hiyo Arsenal ni sawa na West Ham?

Ni kwamba wote wanausikia ubingwa kunako bomba...Bingwa ni mmoja tu.............Chelsea..........sisi wengine tumeshindwa kuuchukua ubingwa......hatuchekani
 
WE ARE THE CHAMPIONS!!!!

_47809963_winners_ap766.jpg



Hongera kwa mashabiki wenzangu wa darajani Mkulu Invisible, sanda matuta, Aljuniortz, Masanilo, Peasant, Rev Kishoka,
Mvina na wengine wengi ambao sijawataja. It has been a long time coming and a good fight fought. Naysayers were there upto
and including this morning...eti sijui Wigan watatufunga!..What balderash that was and thank God the boys in blue put that
to rest with an emphatic thumping.Bring on the next one I say.

And to all our challengers kina Wenger, Balantanda, Mbu, Belo, Idimi, Manda na the Man U crew, thank you for the challenge
and may we bring it back next season.

Have good celebratory day and may we bask in our victory for a while.

Bluzz for Life!
Wengine huwa wanajificha hata MAXI nae ni The Bluez,Hivi ile uwe Moderator lazima uwe Blues
Invisible,Maxi,Ab Tchaz wote BLUES nahisi hata FARIDA nae ZE BLUES

Congratulation tutaonana next season,now nahamia NBA
 
WE ARE THE CHAMPIONS!!!!

Hongera kwa mashabiki wenzangu wa darajani Mkulu Invisible, Sanda Matuta, Aljuniortz, Masanilo, Peasant, Rev Kishoka, Mvina na wengine wengi ambao sijawataja. It has been a long time coming and a good fight fought. Naysayers were there upto and including this morning...eti sijui Wigan watatufunga!..

What balderdash that was and thank God the boys in blue put that to rest with an emphatic thumping.Bring on the next one I say.

And to all our challengers kina Wenger, Balantanda, Mbu, Belo, Idimi, Manda na the Man U crew, thank you for the challenge and may we bring it back next season.

Have good celebratory day and may we bask in our victory for a while.

Bluzz for Life!

Kwenye list umemsahau Mzee Mwanakijiji nae ni Chelsea damu hahahahaha
 
Wengine huwa wanajificha hata MAXI nae ni The Bluez,Hivi ile uwe Moderator lazima uwe Blues
Invisible,Maxi,Ab Tchaz wote BLUES nahisi hata FARIDA nae ZE BLUES

Congratulation tutaonana next season,now nahamia NBA

...ha ha ha, ndio kusema wangeukosa ubingwa leo JF ingekuwa "under maintanace" au?
dah, 'vijembe' hivi tutavikosa kipindi cha off-season...yaani mpaka August!!!...aaahh

Anyway, ngoja tuelekeze nguvu katika demokrasia sasa... Thread ya SIASA/UCHAGUZI MKUU zinahitaji msisimko mpya...

Tupo pamoja!

 
Nakumbuka hawa wigan walivyopigwa goli 9-1 na spurs waliwarudishia hela mashabiki wao walioenda kucheki game sasa sijui mechi ya leo (8-0) watarudisha tena au vipi lol.
 
hahahahahahaha hongera hii inatoka moyoni au ni ya kishkaji tu? Pole sana subiri msimu ujao.

Inabidi tu,nitafanyaje sasa!..ila duh!..eniwei still nawapa hongera Chelski..tho mi ni Ma U Damu na asante kwa pole!!
 
Hahahahahah! Sijui nianzie wapi!! Chelsea, Chelsea, Chelsea!! Fulham Broadway is buzzing, everyone is soaked up!! We're the Champs!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom