Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... 6 - 0 for Chelsea!
Ha Masa kesho inabidi iwe sikukuu na mapumziko juu..Ola la laaaahh hii ni balaa mbao saba! Sidhani kama kesho nitaenda kazini maana nitakavyosherekea mmmmmmhhhh Bluez for life
Park kawafungia Man U bao la nne
SEVEEEEEEEEEEEEEENNNNNNNNNNNNNNN,,,,, Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Unachafua jukwaa mzee kaandikie kwao!
Unachafua jukwaa mzee kaandikie kwao!
Adui mpende... Si vibaya kumtamkaKweli mwambie bwana
Arsenal 4 sasa
mkuu chukua ubingwa kwa fair play.kreti lako la bia nitume kwenye adress gani?Unachafua jukwaa mzee kaandikie kwao!
mkuu chukua ubingwa kwa fair play.kreti lako la bia nitume kwenye adress gani?