Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

well.. when I woke up this morning the sky was all blue! beautiful day indeed! Sasa MANU wamekuwa kama Simba? kwa kweli huu ni "unyanyasaji wa kisoka"..
 
well.. when I woke up this morning the sky was all blue! beautiful day indeed! Sasa MANU wamekuwa kama Simba? kwa kweli huu ni "unyanyasaji wa kisoka"..

Du hata wewe Mheshimiwa unafuatilia haya mambo
 
Hahaha ataonekana mida hii? Lakini bahati vijana wake wamefanya kweli, am happy for Arsenal's victory either

Hawana lolote hao Fulham wanajiandaa na fainali ya EUROPA CUP ndio maana wakalegeza
 
drogba_reu_1632738c.jpg

Champions again: Didier Drogba hit three as Chelsea stormed to the title​
 
Chelsea_1632741c.jpg

Champions: Chelsea players celebrate during their comprehensive defeat of Wigan Athletic
 
Hawana lolote hao Fulham wanajiandaa na fainali ya EUROPA CUP ndio maana wakalegeza

Belo bana..........hasira za kuukosa ubingwa nn........hahaaaaaaaaaaaaaa....Tukishinda si vibaya kupongezana jamani badala ya kukunja ndita ati!!
 
Belo bana..........hasira za kuukosa ubingwa nn........hahaaaaaaaaaaaaaa....Tukishinda si vibaya kupongezana jamani badala ya kukunja ndita ati!!

jamaa ana hasira za kukosa ubingwa na anajua kwenye soka hamna mshindi wa pili yeye na sisi wote sawa bingwa mmoja tu kwahio anataka kutushambulia hata kwenye kaushindi chetu cha kufungia msimu ha ha ha.
 
Belo bana..........hasira za kuukosa ubingwa nn........hahaaaaaaaaaaaaaa....Tukishinda si vibaya kupongezana jamani badala ya kukunja ndita ati!!

hahaha Hamna mkuu,wale jamaa kweli wanajiandaa na fainali.Tutaonana msimu ujao msipoangalia yatawakumba ya Liverpool
 
WE ARE THE CHAMPIONS!!!!

_47809963_winners_ap766.jpg

Hongera kwa mashabiki wenzangu wa darajani Mkulu Invisible, Sanda Matuta, Aljuniortz, Masanilo, Peasant, Rev Kishoka, Mvina, El Nino, Mwanakijiji na wengine wengi ambao sijawataja. It has been a long time coming and a good fight fought. Naysayers were there upto and including this morning...eti sijui Wigan watatufunga!..

What balderdash that was and thank God the boys in blue put that to rest with an emphatic thumping.Bring on the next one I say.

And to all our challengers kina Wenger, Balantanda, Mbu, Belo, Idimi, Manda na the Man U crew, thank you for the challenge and may we bring it back next season.

Have good celebratory day and may we bask in our victory for a while.

Bluzz for Life!
 
jamaa ana hasira za kukosa ubingwa na anajua kwenye soka hamna mshindi wa pili yeye na sisi wote sawa bingwa mmoja tu kwahio anataka kutushambulia hata kwenye kaushindi chetu cha kufungia msimu ha ha ha.

Kwa hiyo Arsenal ni sawa na West Ham?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom