Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........hahaaaaaaaaaaaaaaaa

I said it.....lazima awe mfungaji bora.....Hongereni majirani
 
Hongereni washabiki wa chelsea sana sana watani peasant na masanilo popote mlipo.

Chelsea cruising to title

lampardgoal20100509_412x232.jpg
 
Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... 6 - 0 for Chelsea!
 
Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........hahaaaaaaaaaaaaaaaa

I said it.....lazima awe mfungaji bora.....Hongereni majirani

bado jingine moja la drogba!! ...........duuh!!!

kaka asernal ngapi? au washkaji wame-park basi la kwenda mkoani?
 
Man U wanaponeaponea tu sasa hivi... Stoke wameanza kuwageuka. Rooney haelekei kufunga goli.

Raha sana, kombe tuchukue, mfungaji bora tunaye, kipa bora tunaye hahahahaha
 
SEVEEEEEEEEEEEEEENNNNNNNNNNNNNNN,,,,, Drogbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom