chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,400
- 4,388
sidhani kama kuna mtu anafuraha humu kama yangu yaani tunachukua kikombe this year with new manager Mungu anipe nini mwaka huu tena tukiwa tumeshika nafasi ya 10 last season
yanabahati nimeona kwenye uzi wao yanafurahia droo yenyewe yalishajitoa kwenye ubingwa yanasema yanapigania big 4 hahahahaWamedraw
1-1
sijui kwanini kapiga yeye badala ya fundi wa penati tunayemjuaCosta kafanya haraka sana kupiga hii penalty, angerelax na kutake deep breath kwanza.
huyo ndivyo alivyo na ndiyo aina ya washabiki wa liverpool unajiuliza hivi liverfool ni yakushindana na chelsea ambayo iko mbele kwa zaidi ya point 10 pia misimu miwili iliyopita ilichukua kombe wao wanamiaka zaidi ya 20 hawajui ladha ya kombe
hivi na wewe unategemea kuchukua ubingwa mwaka huu?hahahaHata angefunga sisi tungesawazisha
Hii tunashinda
Hazard alikuwa benchi tayari.mpiga penart ni hazard sijui ilikuaje akapewa costa
Tupe matokeo basi yamekuwaje? HhahhaHata ww unajua
CHELSEA hawezi pata hata sare Anfield!
Duuuh.we jamaaa arsenal wanakupenda kwa utabiri wako WA kweli.hahahaSaasa hapo ujue Arsenal watapigwa na Watford, wakija darajani wanagongwa tena halafu Chelsea anatangazwa bingwa Februari zikiwa zimesalia mechi 14 ligi kuisha! Tehe he he he he eeeeee.....
Mmeshangilia sana draw!Tupe matokeo basi yamekuwaje? Hhahha
Na Liverpool saa tano usiku
Alonso nae ni mzuri sana kwa mipira hiyo iliyokufa, hata Willian anhepiga vizuri tuHazard alikuwa benchi tayari.
Labda angepiga D. Luiz ila naye mguu wake wa kulia haukuwa poa.
Alibaki Pedro ambaye ndo kwanza alikuwa ameingia...
Mchezo ni akili ndugu, siyo chenga na pass accuracy peke yake!Ninyi humu ndani mumshukuru refarii kuzidiwa ujanja na wachezaji wenu wale wahuni
Mkuu Ntuzu, nilipoona anayepiga penati ni Diego moyo ulipata shock kidogo! Nilitamani apige David Luiz.Ilibidi apige yeye kwasababu siku hizi penalty shooter wetu Hazard alikua ameahatoka nje.
So far there is no reason to blem him cause Gunners na Spurs wameboronga.
9 points on top clear kabisa
Watu mnajua kucheza mpira mdomoni haswaSio kama tutashinda leo, Leo Chelsea anashinda kwa goli sio chini ya mbili
Hapa Chelsea na Man utd tu ndio wanajielewa! 🙂🙂🙂🙂Let that sink in..
![]()
Hizi ahadi zako tumezioea kila mwaka na hujawahi kutekeleza hata mojaChelsea AKIPATA hata sare leo Anfield NAJIUZURU kushughulika na lolote kwenye soka
Nasema tena Soton sio Chelsea na MAJOGOO hayakucheza ktk kiwango chake na team pungufu!
Coutihno hakuwa fit,Mane na matip hakuwacheza kabisa na Kipa hakucheza
Nasema tena walio anza na Wolves leo anayenza ni mmoja tu Firmo
2-0 easy kabisa!Msikimbie hapa
huyu bwana ndivyo alivyo unajiuliza huyu mtu anajitambua kweli hivi mpira ni wakujiapiza kweli? Timu yenyewe ni liverpool zaidi ya miaka 20 hawajainua kwapaHizi ahadi zako tumezioea kila mwaka na hujawahi kutekeleza hata moja