fablo can
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,222
- 1,267
Leo nimecheka sana. Hadi watu wakanishanga. Nilikuwa napitia magazeti vup bin Taa...nikakutana na habri inasema "Wenger amepata dawa ya Chelsea" nikaanza kujiuliza inamaana makocha wanamuwazaga chelsea tu badala ya kuwaza mechi inayofuata mfano tarehe 31 arsenal inakutanana na watford.....wao wanalala kuamka wanawaza chelsea haaaaa. Hawa ndiyo akina malafyale ngoja tuje tuwanyoe ili akili iwarudi.