Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea AKIPATA hata sare leo Anfield NAJIUZURU kushughulika na lolote kwenye soka
Nasema tena Soton sio Chelsea na MAJOGOO hayakucheza ktk kiwango chake na team pungufu!
Coutihno hakuwa fit,Mane na matip hakuwacheza kabisa na Kipa hakucheza
Nasema tena walio anza na Wolves leo anayenza ni mmoja tu Firmo

2-0 easy kabisa!Msikimbie hapa
Cc: Invisible, Paw na Moderator wote...
 
Ninyi humu ndani mumshukuru refarii kuzidiwa ujanja na wachezaji wenu wale wahuni
 
Mpira ulikuwa hautulii miguuni kwetu na jamaa walikamia mno ila sio mbaya wanaotunyemelea wamekula kichapo na Spurs kala sare sie wale kileleni point 9 juu...Sasa Arsenal ajiandae kuchinjwa hii ratiba nzuri kweli
Wachezaji hawakuelekezwa kumiliki mpira sn walielekezwa kutumia nafasi chache wafunge na wasifanye makosa na kukaba sana.

Dk 10 za mwisho Waliruhusiwa kucheza na kumiliki mpira lfc ikawa pushed back kwa nguvu huko.

So ilikua ni mbunu tu na uzuri hiyo mbinu ilisaidia lfc kupunguza kasi yao na kucheza taratibu kwa kufata mchezo wetu. So far jamaa wana bahati sn walikua wafe tu.
 
Kweli kaka, sema Costa kaiharibu game, hakuwa serious kabisa, mechi kama hizo ndio umuhimu wa Drogba ulipokuwa unaonekana
Ilibidi apige yeye kwasababu siku hizi penalty shooter wetu Hazard alikua ameahatoka nje.

So far there is no reason to blem him cause Gunners na Spurs wameboronga.

9 points on top clear kabisa
 
-Nathan ake akikomaa na kuuzoea mfumo wa chelsea alonso atapoteza namba bila shaka.
-Fabregas alitakiwa aingie mapema uwanjani, nahisi angeleta tofauti kubwa zaidi.
-laiti kama muumba angempa kante mwili wa chalobah, jamaa angekuwa ni invincible. This man is something else, hat down.
....Bring them assanal, KTBFFH...
 
Hata Pedro angeanza au kuingia mapema ingekuwa different game.
 
Kweli kaka, sema Costa kaiharibu game, hakuwa serious kabisa, mechi kama hizo ndio umuhimu wa Drogba ulipokuwa unaonekana
Hapo ndio huwa naanza kumuwaza Paulo Dybala km angekua anacheza iyo nafasi ya Costa.
 
-Nathan ake akikomaa na kuuzoea mfumo wa chelsea alonso atapoteza namba bila shaka.
-Fabregas alitakiwa aingie mapema uwanjani, nahisi angeleta tofauti kubwa zaidi.
-laiti kama muumba angempa kante mwili wa chalobah, jamaa angekuwa ni invincible. This man is something else, hat down.
....Bring them assanal, KTBFFH...

Hata Pedro angeanza au kuingia mapema ingekuwa different game.

Game ilikua na plan A na B.

Plan A ni kumuanzisha Willian kwasababu ni mzuri pia Ktk ukabaji na hachoki kuliko Pedro.

Ni kumuweka Faby benchi kwasababu Sare ilikua inatubeba sisi. Kwahiyo kujilinda ndio ilikua kipaumbele chatu cha kwanza na ata tulipopata Goli tulilitunza.

Plan B ni kumuingiza Pedro na Faby ili kushambulia sn na kumiliki mpira na kucheza mpira wa kasi. Hii km tungefungwa mapema basi hawa wangeingia na pia ata tulipofika dk 75 Conte alipenda kuwashambulia lfc na kuwaingiza hao na lfc ikapotea.

So kulikua na plan ambazo zilikua zikiambatana na mbinu zilizotakiwa.

Mwisho wa siku kwa leo Conte ndio fundi wa mbinu kuliko Klopp
 
2081.jpg

Simon Mignolet saves Diego Costa’s penalty in the second half at Anfield.
 
Game ilikua na plan A na B.

Plan A ni kumuanzisha Willian kwasababu ni mzuri pia Ktk ukabaji na hachoki kuliko Pedro.

Ni kumuweka Faby benchi kwasababu Sare ilikua inatubeba sisi. Kwahiyo kujilinda ndio ilikua kipaumbele chatu cha kwanza na ata tulipopata Goli tulilitunza.

Plan B ni kumuingiza Pedro na Faby ili kushambulia sn na kumiliki mpira na kucheza mpira wa kasi. Hii km tungefungwa mapema basi hawa wangeingia na pia ata tulipofika dk 75 Conte alipenda kuwashambulia lfc na kuwaingiza hao na lfc ikapotea.

So kulikua na plan ambazo zilikua zikiambatana na mbinu zilizotakiwa.

Mwisho wa siku kwa leo Conte ndio fundi wa mbinu kuliko Klopp
ni kweli mkuu next match at home
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom