Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Habari wakuu. Mechi yetu ya jana ilikuwa na makosa madogo madogo ambayo imetukost kwa kiasi fulani. Mfano wachezaji wetu walikuwa wanapoteza mipira kirahisi. Pia Costa hakuwa katika mudi ya mchezo hata alivyo pewa penati tayri alikwisha panic so ikapelekea kuukosa kwa urahisi sana.
All in all draw ni advantage kwetu na pia itaturudisha katika hali ya ushindani pale darajani tutakapo kutana na vijana wa wenger. Meanwhile bado tupo mbele kwa points 9 clear. Niwatakieni asubuhi njema na kazi njem #comeonechelsea#
Hazard alikuwa benchi tayari.

Labda angepiga D. Luiz ila naye mguu wake wa kulia haukuwa poa.

Alibaki Pedro ambaye ndo kwanza alikuwa ameingia...
match sikuicheki thus why nikahisi hazard alikuwepo
 
Chelsea AKIPATA hata sare leo Anfield NAJIUZURU kushughulika na lolote kwenye soka
Nasema tena Soton sio Chelsea na MAJOGOO hayakucheza ktk kiwango chake na team pungufu!
Coutihno hakuwa fit,Mane na matip hakuwacheza kabisa na Kipa hakucheza
Nasema tena walio anza na Wolves leo anayenza ni mmoja tu Firmo

2-0 easy kabisa!Msikimbie hapa
Simamia maneno yako,, shameless
 
Goodbye ivanovic.
Siku ya kwanza namtambua ivanovic ilikuwa ni champions league, mechi kati yetu na liverpool. Alifunga magoli mawili murua ya vichwa yaliyotusaidia kuibuka washindi wa goli 3-1 katika mchezo huo.

Pia nayakumbuka magoli yake muhimu dhidi ya AS napoli na europa final dhidi ya benfica. The rest is history.
...Utani kidogo: hivi ni kweli alikuwa ndo "tamu" ya aliyekuwa daktati wetu eva carneiro?...
 
Mkuu Ntuzu, nilipoona anayepiga penati ni Diego moyo ulipata shock kidogo! Nilitamani apige David Luiz.

mi nilijua tu atakosa, nikamwambia aliyekua karibu yangu "costa anakosa".......... angepiga predro ingekua goli 100℅ au willian, Luiz hapana namuogopa kwa minazi.
 
Goodbye ivanovic.
Siku ya kwanza namtambua ivanovic ilikuwa ni champions league, mechi kati yetu na liverpool. Alifunga magoli mawili murua ya vichwa yaliyotusaidia kuibuka washindi wa goli 3-1 katika mchezo huo.

Pia nayakumbuka magoli yake muhimu dhidi ya AS napoli na europa final dhidi ya benfica. The rest is history.
...Utani kidogo: hivi ni kweli alikuwa ndo "tamu" ya aliyekuwa daktati wetu eva carneiro?...
Hahahahaha aisee Dr alikua muzuri sizani km ni rahisi kwa mwanamme yoyote kusema NO
 
Ila timu yetu naona ina tatizo sana katika mipira ya cross na majirani zetu wameanza kupewa matumain kwamba wakita kutufunga watumie cross magol 3 yote y mwaka huu ni kwa njia ya cross
Mkuu, magoli matatu katika mechi ngapi?
Hizo mechi nyingine ambazo magoli hayakufungwa hakukuwa na cross zilizopigwa?
Anyway Conte haachi kufanyia kazi any point of weakness anayoiona kwenye kila mechi tunayocheza!
Kuna msemo anaopenda kuusema kwamba: We keep on improving!
 
Ni majibu mazuri timu haiwezi kutoruhusu magoli 100%.
 
Super Frank Lampard magoli 211 akiwa Chelsea ,midfielder aliyetupia kikatili akaifanya niipende blue color kwa moyo wote ,kwa akili yote katundika daluga .midfielder pekee kwenye top 5 EPL all time top scorer .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom