RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,877
- 129,893
Chelsea anakula kichapo.Unaona nini kikitokea mkuu @PRONDO
Chelsea anakula kichapo.Unaona nini kikitokea mkuu @PRONDO
Ngoja nianze kabisa practice ya kucheka...Chelsea AKIPATA hata sare leo Anfield NAJIUZURU kushughulika na lolote kwenye soka
Nasema tena Soton sio Chelsea na MAJOGOO hayakucheza ktk kiwango chake na team pungufu!
Coutihno hakuwa fit,Mane na matip hakuwacheza kabisa na Kipa hakucheza
Nasema tena walio anza na Wolves leo anayenza ni mmoja tu Firmo
2-0 easy kabisa!Msikimbie hapa
Unaomba iwe hivyo au unamaanisha?Chelsea anakula kichapo.
Usiwe na hofu kakaCome on chelsea pigeni vilaza hao.