Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Niliandika humu, kenge na nyumbu wanatabia nyingi za mfanano
Screenshot_20260919_013423_FotMob.jpg
 
EPL imeshampalia Alonso,usajili wa €400m lakini timu bado mbovu .

Alitakiwa ajue hii sio Bundesliga ligi mpeche mpeche au Laliga ambayo alikuwa anajificha kwa individual brilliance za Mbappe .

Tafiti za wachambuzi huru zinasema atafungwa goli 91 kwa mwendo huu ndani ya EPL
HSiFtCia4AA14jM.jpg
 
Hii ndio EPL ,Chelsea wametumia €400m kwenye usajili , Brentford ametumia €100m kwenye usajili

Lakini ni wachezaji watatu tu wa Chelsea ndio wenye sifa za kuingia First eleven ya Brentford

Hii ni maajabu

Mara ya mwisho wamekutana jana ,

Chelsea kapigwa chuma 3 kwa ZERO
HSgUmw8XoAAglJm.jpg
 
Mfumo wake wa mabeki 3 inazingua.
Huo mfumo ndiyo nyumbu alichapika nao.

Back 3 siyo mfumo mbaya kama unaweza kumiliki mpira hivyo back 3 yako inakua haina haja ya kupanda juu yenyewe inakua mwisho kwenye dimba la kati.

Ukiangalia game ya nyumbu juzi Brighton walikua wanamiliki sana mpira ila kuna big chances zilitokana na back 3 kusogea juu.

Arsenal tumecheza back 3 pia. Ni kipindi ambacho tulikua tunapiga pasi nyingi sana.
 
Utasikia wanabana pua 'Ngoja uone balaa la JP Morgan' mara 'CPR'

Kumbe kwenye mechi tano za ligi wameshinda mbili tu. Nazo wanashinda huku wanashindiliwa miti haswa
 
Unahangaika mzee!!, hivi unafakiri chelsea ni ya kupoteza kizembe?! Sisi kushinda ni lazima, clean sheet ndio tatizo
🤣🤣🤣 Kweli kabisaaaa clean shit kwa chelkenge ndio tatizo, ila kushinda kwenu ni lazima, hongereni kwa kupata points 3.
 

Attachments

  • 1748516644467.jpg
    1748516644467.jpg
    185.5 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom