Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni the blues afya zetu zinaimarika kila inapoitwa leo

3C66A6C700000578-4145666-image-a-97_1485110949192.jpg
 
FUN FACTS:

- 55 - A club has now had 55+ points after 22 PL games 4 times, with Chelsea responsible for 3 of those (04-05, 05-06 and 16-17). Dominating.

3C662C5E00000578-0-Chelsea_and_Hull_players_take_part_in_the_routine_pre_match_hand-a-28_1485104882546.jpg

- 52 - No manager has won more points from their opening 21 Premier League games than Antonio Conte (52, same as Jose Mourinho). Special.

C2XX4WCWEAAaKtx.jpg

- 101 - Only Ryan Giggs (162) and Frank Lampard (102) have provided more PL assists than Cesc Fabregas (101, level with W Rooney). Conductor.

631214936.jpg

- 7 - Following Victor Moses' assist, Diego Costa has now had more different players assist him than any other PL player this season. Friends.

GettyImages-611741438.0.jpg

- 51:35 - At 51 minutes and 35 seconds, Diego Costa's is the latest 1st half goal since Opta started recording exact times (2006-07). Gasp.

- 4 - Diego Costa has scored a goal in each of his four Premier League appearances against Hull City. Tamed.

- 100 - Diego Costa is playing his 100th game in all comps for Chelsea, scoring 51 goals and assisting 17 so far. Centurion.

C2ydfXHXUAA8Edh.jpg

*STATS BY OPTAJOE
 
Hizi sub nzuri sana tulielemewa upande wa Alonso mbaya kabisa
Hizi sub nzuri sana tulielemewa upande wa Alonso mbaya kabisa
Hizi sub nzuri sana tulielemewa upande wa Alonso mbaya kabisa

wilian for pedro, fabrgas for hazard. hii sub ni nzuri sana , pale kati tunaweka watano cante, alonso, moses, matic na fabr na mbele wanabaki wawili costa na wilian. Hii inasaidia pale kati kuwa vizuri ,
 
Ryan Mason update

ryan-mason-update.img.png

Hull have tonight released the following statement:

‘The Club can confirm that Ryan Mason sustained a skull fracture in our fixture at Chelsea this afternoon.

‘He was taken to St Mary’s Hospital where he has undergone surgery.

‘Ryan is in a stable condition and is expected to remain in hospital for the next few days.

‘Everyone at the Club would like to express their sincere thanks for the excellent and swift care given to Ryan by both the Accident and Emergency department and Neurosurgery Unit at St Mary’s Hospital.’
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
 
zile tambo za ubingwa naona zimeisha now unawza kutufunga, trust me liverfool ndo best loser msim huu
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
Refaa amemsaidia nani......aiseee.
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
Mimi nakubali nilikuwa chini ya kiwango, ila kusaidiwa na refa nakataa. Ila nimeshinda, sijui wewe ambaye ulikuwa na kiwango bora umeshinda ngap?

Wewe (Liverpool) najua mfa maji huishi kutapa tapa. Ngoja nikupige nikuache points 13 ndo akili itakukaa sawa. Na huyo mwenzio unaedhani atanifunga nae nampiga.

Baada ya hapo ndio utakubali kuwa mimi (Chelsea) bingwa.

Na wewe usipo angalia humalizi top 4.
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
 
chelsea anapokuwa na kiwango kibovu ndo huwa anachukua ubingwa angalia ubingwa wote alio chukua anapo onekana mubovu ndo hawezi kufungwa
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
Ndg Chelsea hata akipoteza gemu za big 6 anapoteza 12 pts ila point 36 zilizo baki haponi MTU hiyo ndio tofauti ya Chelsea na timu nyingine wakati wengine wakijikwaa kwa droo sisi tunasepa na team ndogo mpaka kinaeleweka Kati ya pt 36 tutachukua 26 na kuwa bingwa.hesabu hii ni rahisi
 
Mmetangulia kwa baiskeli ya mbao
Jumanne ijayo Anfield nakupiga
Week hiyo hiyo Arsenal anakupiga
Zitabaki points 4 ambazo utaziachia tu
Kwa perfomence mbovu ya leo ya kusaidiwa na refa huwezi kuwa bingwa

Najua Jumanne mnajua kabisa kama mnachapwa!Mnayaogopa sana MAJOGOO!!
Ahaahaha yalishanyonyolewa na Swansea kazi yetu kupika na kula tu.
 
Malafyale;
Unayo rohoo ngumu kama Gattuso....ngoja hiyo siku ifike ndo utaamini kua Liverfool ndo top 4 wataisikia kwenye radio tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom