farangafotoo
Member
- Jan 4, 2017
- 12
- 2
Kwa hvyo ukiwa unanyolewa hata wembe ukikukata unatulia tu cyoMa haters mnaleta kelelee. .ligi bado tunayoo tulienii kama mnanyolewaa
Kwa hvyo ukiwa unanyolewa hata wembe ukikukata unatulia tu cyoMa haters mnaleta kelelee. .ligi bado tunayoo tulienii kama mnanyolewaa
Cahili anachezea team ya England na ndiyo maana wanatolewa na IcelandHawezi kupata number sasa inafaida gani kuwa team ya taifa usicheze ,pembeni yuko Walker ,rose na katikati cahil na stone sasa acheze wapi anatakiwa kuwa bench katikati wako kina dier acheze wapi
point ngapi tumekupita...????
mind the Gap..
N’Golo Kante: "We don’t think about making another run, it’s just game after game. We have a good team with good character."
N’Golo Kante: "Now we have to be focused for the next game in the cup and come back in the league with a win."
Unatulia tuu hakuna namna....Kwa hvyo ukiwa unanyolewa hata wembe ukikukata unatulia tu cyo
hivi ake alikufunga goli ngapi na hiyo beki yako uchwaraCahili anachezea team ya England na ndiyo maana wanatolewa na Iceland
Cahili nchi kama Germany hata team ya Taifa under 21 haanzi
Spain hata team ya Taifa under 19 jezi reserve hapewi
Milner anaanza England pembeni kwa sasa angeamua kubaki
Rose mzuri sana kwenye kushambulia,kukaba ziro
Usimlinganishe Milner na mambo ya kijinga please!
Confirmed- Nathan Ake have recalled from loan spell at bounamouth.
Umeongea non-sense, kaa ukijua hadi sasa beki line imara ni ya spurs kwenye top 5 European leagues so usilinganishe na ujinga wa leicester unaofungwa 2 goals na sunderlandConte asipokuja na mbinu mpya Leicester hata kama Sliman na Mahrez hawapo lkn anaweza kukufunga!
Sababu Vardy na Mussa wapo na Ranieri ata copy and paste kwa Spurs wlaichofanya leo na itakuwa easy zaidi kwao sababu beki zao zina nguvu kuliko Spurs

Hakuna namna ake asharudishwa rasmi mkuuSijasoma comments za juu...ila sitaki Ake arudi this January. Bado sidhani kama ni suluhisho la left wing yetu
Hapana anakuja ku-strengthen kikos.Dah! Uku si atakuja kuchezea bench sana
Nimeicheki ngoja tuone itakavyowek.Wakuu leo Conte kuna kitu anakijaribu...
Mfumo wa leo ni 3+5+2.
Cahill + Terry + Zouma.
Ivanovic + Chalobah + Faby + Loftus+ Pedro.
Willian + Batshuay