Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Half Time

Tottenham 1 - 0 Chelsea

Goal by Dele Alli 46'

Safi sana kwa updates

Mwanaume unatakiwa kuwa na roho ya chuma, siyo ya tikiti maji kama wale wajukuu wa babu pale emirates...!!!

Ngoja tuone conte anawa -offer kitu gani second half
 
Yaan naona Willian anahitajika sana sana, kama nilivyosema awali nguvu hana za kupambana na mabeki wa Spurs. Faby akiingia kingo kitashikwa sana Dembele na Wanyama wanapiga kazi
Wako vizuri lakini kama umeona hawapitishi mipira kati bado inaenda pembeni kisa kinachowafanya Hazard na Pedro kushuka kusaidia.

We are still good in general..umaliziaji tu ndo umekuwa butu.
 
Naona leo kama Pedro hajawa kwenye form ila ngoja tuone dk 45 zijazo,bado naamini tutatoka na ushindi
Pedro hajapoteza nafasi kama walizokuwa nazo Hazard na Costa.

Kama sio fear factor na dribbling ability ya Hazard akiwepo uwanjani ningesema waingine Pedro na Willian. Pedro ahamie upande wa Hazard
 
Naona leo kama Pedro hajawa kwenye form ila ngoja tuone dk 45 zijazo,bado naamini tutatoka na ushindi
Ebo awe kwenye form kwani anacheza na swansea? Ataonea haohao sio hao wanaume wa shoka, watoto wa mjini
 
Acha kujikausha ndezi wwe sema leo huna uwezo wa kushinda hii gemu hata kama utaambiwa utakabidhiwa leo kombe
Sasa mkuu tukiweka gap ya point 8 january hii si itakuwa ndio basi tena?, wacha tubakishe utamu wa ligi bana.
 
Jamani tuacheni utani. Dembele ni shoka aisee. Ananikumbusha patrick Viera..

Half time tayari mmelala.
Matic anacheza kama ameambiwa mwisho leo kucheza mpira, lakini uwepo wa Dembele unafanya kazi yoote isionekane naona hata watangazaji wanamuingelea Dembele tu.
 
Wako vizuri lakini kama umeona hawapitishi mipira kati bado inaenda pembeni kisa kinachowafanya Hazard na Pedro kushuka kusaidia.

We are still good in general..umaliziaji tu ndo umekuwa butu.
Hawa wanapenda sana kutumia Rose na Walker, sasa Alonso nae kule legelege japo anajaribu sana, huki nako Pedro legelege.

Atleast Willian akiingia upande huo utakuwa na nguvu na hata Rose hata panda sana, hii itawafanya hata Hazard na Costa kuonekana maana Willian anauwezo wa kupeleka mbele timu.
 
Ebo awe kwenye form kwani anacheza na swansea? Ataonea haohao sio hao wanaume wa shoka, watoto wa mjini
Umesahau kutaja na man utd mkuu...hahaha ukweli huwa mchungu.

We are the winners in this, watch and see!
 
Sasa mkuu tukiweka gap ya point 8 january hii si itakuwa ndio basi tena?, wacha tubakishe utamu wa ligi bana.
Huna lolote si mlikua na tambo za kutaka kuvunja recodi wiki nzima hii hatunywi maji, imekuaje tena
 
Hawa wanapenda sana kutumia Rose na Walker, sasa Alonso nae kule legelege japo anajaribu sana, huki nako Pedro legelege.

Atleast Willian akiingia upande huo utakuwa na nguvu na hata Rose hata panda sana, hii itawafanya hata Hazard na Costa kuonekana maana Willian anauwezo wa kupeleka mbele timu.
Pedro unamuonea. Mtu pekee legelege ni Alonso.

Second half mkuu..baadaye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom