barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Records za ARSENAL FC kuzivunja bado sana.
INVINCIBLE.
INVINCIBLE.
Mourinho alisema haya maneno December 2016 sio leoIngekua hao Spurs wamefungwa hiyo jana ungeleta haya maneno au ungekaa nayo tu?!
Mimi sijakuuliza Mou aliyasema haya maneno lini? Nimekuuliza hivi "Ingekua hao Spurs wamefungwa hiyo jana,ungeyaleta hayo maneno?" Nazungumzia timing..kua muelewa.Mourinho alisema haya maneno December 2016 sio leo
Conte asipokuja na mbinu mpya Leicester hata kama Sliman na Mahrez hawapo lkn anaweza kukufunga!
Sababu Vardy na Mussa wapo na Ranieri ata copy and paste kwa Spurs wlaichofanya leo na itakuwa easy zaidi kwao sababu beki zao zina nguvu kuliko Spurs
13 games mmeshinda mfululizo ila mna gepu ya pt 5 tu?? Dah!!We are 5 points clear and Liverpool are playing Man u away next game,we don't need to create chaos,we are still in good position.
Kwani wewe ulitaka kila game atakayoshinda Chelsea awe anapewa 5 points na sio 3 points ili atengeneze gap kubwa? What is ur point?13 games mmeshinda mfululizo ila mma gepu ya pt 5 tu?? Dah!!
13 games mmeshinda mfululizo ila mna gepu ya pt 5 tu?? Dah!!
Kweli avumaye baharini ni papa ila ........
Mkuu kufungwa kwa Chelsea imekua ni habari ya Dunia! Wengine wakifungwa huonekana ni kawaida tu! Hapo ndio utakapoona tofauti ya Sisi na Wao..Naona ilikuwa Chelsea against 19 Teams
We played good but this is football u can win, lose or draw does not matter happened we must support our player instead to blame them do not blame Alonso also Moses was game any result its OK for realers's fans
But still we are Club we are Chelsea let us focus to our next game against Leceiter city
..tatizo chelsea waliongea sana tena sa Ivi subiri kila mtu atataka amfunge sasaMkuu kufungwa kwa Chelsea imekua ni habari ya Dunia! Wengine wakifungwa huonekana ni kawaida tu! Hapo ndio utakapoona tofauti ya Sisi na Wao..
13 games mmeshinda mfululizo ila mna gepu ya pt 5 tu?? Dah!!
Kweli avumaye baharini ni papa ila ........
Loooooooh hb..tatizo chelsea waliongea sana tena sa Ivi subiri kila mtu atataka amfunge sasa
Hapo kwenye red, kwahiyo hao waliokwishafungwa kumbe walikua hawataki tu kuifunga Chelsea?! Yaani walikua wanaingia uwanjani ili wafungwe tuu?!..tatizo chelsea waliongea sana tena sa Ivi subiri kila mtu atataka amfunge sasa




Ebo sasa ulitaka tuhuzunike? Sasa nani angejulikana ni fans wa chls na nani wa timu nyengine? Si bure ALLY amekuvurugaDuh! Raia wamefurahi kweli kufungwa kwetu, kumbe wanatuhanda aisee
..tatizo chelsea waliongea sana tena sa Ivi subiri kila mtu atataka amfunge sasa
.endelea kuota.ila bingwa ni Chelsea.Mimi Arsenal na siipendi spurs ila kwa jana nimefurahi rekodi yetu iko intact.Man u na asernal mmeaumia zaidi ya mashabiki wa Chelsea kufungwa na Toti, sema usoni mnaonekana na fraha ila moyoni fraha hakuna kabisa