Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huu ndo ukweli. Ukifungwa kuna tendency ya kuona kila mtu kakosea.

My only cry tangu mwanzo wa ligi ni Marcos Alonso...viatu vya Ashley Cole vinampwaya sana.

Najua games nyingine tunaweza kushinda ila games kama ya Leicester and Liverpool ingependeza Pedro acheze left wing. Ni mtazamo wangu.
Hiyo left wing ni bora amrudishe Kennedy
 
Tunajua nini tunafanya, na ndo maana tunafurahia wee subiri soon utarealize nini kilinifurahisha
Sawa sawa mkuu, mnajua mnachokifanya. Hayo ni mapenzi kwa timu ila kocha wako na wachezaji ndo wanajua wanafanya nini
 
Namaanisha Ntuzu alikua hajui kama iufungwa ni sehemu ya mchezo

Kaka wewe na wenzio hebu niwaulize kitu, kipi kilichowafurahisha leo kwa Chelsea Kufungwa?, kupoteza point au kushindwa kufikisha mechi 14 bila kufungwa, maana mi naona bado kuna gap kubwa tu kati ya Chelsea na NYIE WOTE
 
"Kunywa maji mwanangu"..
 
Kaka wewe na wenzio hebu niwaulize kitu, kipi kilichowafurahisha leo kwa Chelsea Kufungwa?, kupoteza point au kushindwa kufikisha mechi 14 bila kufungwa, maana mi naona bado kuna gap kubwa tu kati ya Chelsea na NYIE WOTE
Chelseas-Diego-Costa-remonstrates-with-Pedro.jpg
 
Kwa hiyo Tottenham amekula matunda leo? Au wanaofurahi kusikia "mind the gap" ndio wamekula matunda leo?
Yanaitwaje matunda ya mti wa Chelsea?
Hao walio chini yetu, ilikuwa inwauma sana kuona tunaenda kuvunja record na kukaa kileleni kwa tofauti ya point nane. Sasa tumefungwa wamepata vya kuongea.

This is Chelsea tumefungwa tutasimama tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom