Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lets wait na mimi nilisema kama tuna shinda ntaweka silaha chini.
So now nasapot tuu.
Ni rahisi kumfariji mgonjwa wewe ukiwa mzima bhana @Ntunzu

I do trust Mourinyo a lot..... He is right manager for Utd now..... And in this season He will end up the second possission.... On top of liverpool and city and Gunners.
 
Yes ni kweli, ila pia hapa kwenye mwezi wa kwanza mpaka wa 3 utadetermine twenda wap.
Hebu tusubiri kwanza tuone
Men you don't need to worry anything.... What you have to do, just put your trust on Mourinyo then everything will work out nicely.....

You Just say in Mourinyo we trust.... Na kila kitu kitakua mukide
 
Hii inashikiliwa na arsenal alishinda mechi 14 mfululizo. Tukimfunga Spurs tutakuwa tumewafikia arsenal kwa record. Na next gem tukishinda tutakuwa tumevunja record ya arsenal mkuu.
Arsenal alishinda mechi 13 kwenye msimu mmoja kisha mechi 1 kwa msimu uliofuata...haijawahi tokea kwa timu yeyote kushinda mechi 14 mfululizo kwa msimu mmoja
 
Transfer shock-michail Antonio of westham united wanted by chelsea. Source sky sports.
 
Hapo ndo penyewe "pedro & matic" ndani, nilikuwa nafatilia page ya chelsea "chelsea news now"-naona matic anakamatia dimba la chini huku pedro akiungana nahazard & costa.
Nimeupenda mjadala huu,
Matic vs faby
Pedro vs Willian

Maoni yangu Pedro na Willian wana vitu vingi sana vinafanana, na kwa sasa no doubt kuwa wote wapo kwenye form, japo kila mmoja ana weakness zake,
Willian ni mzuri sana kwenye kuidrive timu, anawapunguza na kuhamisha kijiji, ana pace.

Tatizo lake ni moja tu hana consistency kwenye goal target. Hii ndio inayomtofautisha na Pedro, Pedro in goal targeter mzuri sana kwahiyo kwangu Mimi Pedro aanze kumsaidia Costa kwenye kufunga magoli ya mapema, kipindi cha pili kocha amwinue Willian akawakeep bussy viungo na mabeki wa Spurs.

Matic ni mzuri hasa ili kuipa timu balance, urefu wake ni best partner na Ng'olo. Faby ni mfupi sawa na Ng'olo sasa kuwaweka wote pamoja watapata shida sana kwa Dembele na Wanyama.

So Matic aanze halafu dakika za mwisho Faby anyanyuliwe akapige pass za mwisho, atolewe Alonso katikati wabaki Matic na Ng'olo.
 
Pundits wengi ninaowasoma leo wanasema either DRAW ama Tottenham WIN. I can't wait to prove them wrong.

- skysports
- dailymail
- goal.com
- standard

We will prove you wrong.
 
C1WJECRXAAY1aF-.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom