Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu
Unafikiri washabiki wenzako wa Mafia team aka Chelsick watakubali? Hapa tupo kwenye burudani ukifungwa una leak your wounds ukishinda unasheherekea. Ligi bado ndefu hadi mwezi May ndio tutafahamu hatma ya Premier League lakini kuna wenzetu walianza kudai hili kombe kuanzia November last year.

Tatizo kubwa la EPL hivi sasa ni marefa kuto kutoa uamuzi wa haki wanapochezesha mfano wa jana Arsenal Ramsey alifanyiwa fujo na refa hakutoa kadi kwenye penalty box na ni mchezaji yule yule aliyemvunja mguu, kama angeonywa au kutolewa kwa red card tungekuwa tunaganga mengine, na leo Aston Villa Vidic alitakiwa kupewa red card lakini aliendelea kucheza hadi mwisho.

Hili naliona kama tatizo kubwa sana. Nilikuwa nafikiri limekwisha hasa baada ya wakati ule miaka michache iliyopita wakati Tottenham Hotspurs walinyimwa goli ambalo liliwasaidia Manure kuchukua ubingwa - Umafia umeingia sana kwenye soka how to clean it ndio big question hivi sasa, kwa sababu there is a lot of money in this sport.
Hapo mkuu ni kweli kabisa, angalia faulo ya Bellet aliyepewa Red card na ya Vidic ambaye hakupewa Red card ndo utagundua umafia wa marefarii. Faulo ya Vidic ilikuwa ya muonekano wa wazi ya Bellet alimgonga mchezaji lakini si makusudi lakini Bellet alipewa Red card na Vidic faulo ya wazi alicheza mpaka mwisho.
 
....Guys, It is just a Game. Mwajifichia ni?! 😀
Peasant pole sana kwa masahibu yaliyokukuta,
karibu tena jukwaani.
 
....Guys, It is just a Game. Mwajifichia ni?! 😀
Peasant pole sana kwa masahibu yaliyokukuta,
karibu tena jukwaani.

walichonga sana kumbe awakujua kwamba mpira udunda na lolote linaweza toke itakapofika Mei, 2010.
 
Tulisema wakawa wanasema sisi tunawaonea gele, yako wapi chacha? Khe khe kheeeeeeeeeeee. Na bado matanga hayajaisha chungulieni tu.
 
Jamani hivi Masanilo,Peasant na Mvina ndo kusema wametokomea kabisa ama ndo wameamua kuwa guests wa JF moja kwa moja...Kweli kufungwa(hasa ukiwa na maneno mingi) kubaya sana jamani
Mkuu kama hivi tumerudi kwa kishindo jukwaani hali haikuwa nzuri sana last week ila bado tupo na ligi ndo imefika patamu tumewaongezea matumaini ya ubigwa hadi hapo.
 
Mkuu kama hivi tumerudi kwa kishindo jukwaani hali haikuwa nzuri sana last week ila bado tupo na ligi ndo imefika patamu tumewaongezea matumaini ya ubigwa hadi hapo.

Wana Chelsea i think hatupo kwenye crisis baada ya kupoteza game mbili mfululizo, i still believe on Carlo Anchelotti, lazima afanye mabadiliko katika kikosi chake cha kwanza na kubadili tactics, midfilder haijacheza vizuri game zote mbili - ya inter na city - hasa holding mid. hapa ndiyo wakati mzuri wa kuangalia nini kocha anaweza kufanya. jmosi kwenye kombe la FA wapenzi wa chelsea angalieni mfumo atakaotumia - kuhusu JT - yeah anaweza kuwa ameathirika na sakata lakini nakataa kabisa kuwa ndiyo chanzo cha chelsea kupigwa hizi game mbili.

Kuhusu beki wa kushoto - pia kocha nafikiri atalifanyika kazi - wapenzi wa chelsea bado tumo kwenye makombe yote 3 muhimu - nafikiri kipindi hiki ndicho cha kuonyesha how strong tulivyo.
 
Wana Chelsea i think hatupo kwenye crisis baada ya kupoteza game mbili mfululizo, i still believe on Carlo Anchelotti, lazima afanye mabadiliko katika kikosi chake cha kwanza na kubadili tactics, midfilder haijacheza vizuri game zote mbili - ya inter na city - hasa holding mid. hapa ndiyo wakati mzuri wa kuangalia nini kocha anaweza kufanya. jmosi kwenye kombe la FA wapenzi wa chelsea angalieni mfumo atakaotumia - kuhusu JT - yeah anaweza kuwa ameathirika na sakata lakini nakataa kabisa kuwa ndiyo chanzo cha chelsea kupigwa hizi game mbili.

Kuhusu beki wa kushoto - pia kocha nafikiri atalifanyika kazi - wapenzi wa chelsea bado tumo kwenye makombe yote 3 muhimu - nafikiri kipindi hiki ndicho cha kuonyesha how strong tulivyo.
Mkuu nina imani kocha lazima atafanya marekebisho ili kunusuru hali iliyotukuta isiendelee na baadhi ya majeruhi naona karibu watarudi ukiondoa Cole.
 
Baada ya Chelsea kufungwa msimamo wa Ligi umekuwa mzuri sana, na ligi ndiyo imezidi kunoga kwa kuwa ushindani unaongezeka, pressure inapanda pia.

Hata hivyo ligi bado mbichi, mechi 10 au 11 ni nyingi sana na zinaweza kubadilisha kabisa msimamo wa ligi..

Ili kuwe na ushindani mzuri ni kuziombea timu zote zisiwe na majeruhi, wachezaji wa timu zote wawe na afya ili watu tufaidi kabumbu la uhakika.

Kila la heri kwa timu zote, na timu itakayoonyesha ufundi wa kusakata kabumbu zuri itwae kombe la EPL!
 
Cheryl Cole agrees to counselling sessions with Ashley

cherylBack2_getty_520405t.jpg

It has been reported that Cheyl Cole has agreed to counselling sessions with her husband Ashley Cole. Photo: Getty Images



By Laura Roberts
Wednesday March 03 2010


Cheryl Cole has agreed to attend counselling sessions with her husband Ashley Cole, it has been reported.

The first meeting with a therapist could even take place next week after Ashley Cole returns home from a rehabilitation clinic in France where he is being treated for a broken ankle, according to the Daily Mail.


The singer and X Factor judge released a statement last week announcing her intention to split from her husband following reports that he had cheated on her with several women and sent sex texts. They have been married for three and a half years.

The Girls Aloud pop singer, 26, announced her separation on February 23 but has not yet started divorce proceedings.


Two years ago she forgave her husband after he had a one night stand with a hairdresser he met in a nightclub called Aimee Walton.


Last month he was accused of sending sex texts to Sonia Wild a glamour model.

Since then Vicki Gough, a secretary, has claimed she had sex with him twice during autumn 2008 while Ann Corbitt, a US local government worker, alleged that she had sex with him in a Seattle hotel last July.


Finally Alexandra Taylor came forward and said she had a short affair with the 29 year-old in 2004 only hours after he and Mrs Cole made their relationship public at the National TV Awards.

- Laura Roberts

© Telegraph.co.uk

Duh kumbe huyu mdada bado anammind mshikaji?
 
Cheryl Cole jets to France to see 'pleading' husband Ashley

Last updated at 09:54am on 04.03.10

Cheryl Cole is said to be flying to France for talks with estranged husband Ashley.

The Fight For This Love singer has given into Ashley's pleas for a meeting on condition they are on neutral ground, according to The Sun.
cherylashley25-500.jpg


The 26-year-old star will head to the south of France where the footballer is receiving treatment following an ankle injury.

A source told The Sun: "Cheryl wants to be tough with Ashley and believes that will be easier on neutral territory."


It will be their first meeting since Cheryl announced last month she was separating from Cole, but she plans to give him just 15 minutes to defend himself.

The Sun also revealed that the Chelsea player has been sending his wife text messages quoting lyrics from her songs.

One text said: "We've got to fight for this love."

It may be a little late for that Ashley...
 
carousel_cheryl_998224a.jpg

Mafioso team hawana aibu hawa, no role models kwenye hii timu ... ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom