Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Wanaombea kweli tufungwe leo...Tukifungwa tu nao wataanza kuibuka toka chimbo,utawaona tu
Walie tu leo vijana wameonywa vikali kwamba mechi zote zilizobaki lazima wacheze kama Arsenal players siyo vikatuni flani kama vya darajani ambavyo havina hata ustaarabu kazi ni umafia tu. Wizi wa bidhaa madukani, uuzaji wa bangi na unga sasa wamekimbilia kwenda kuiba wake za watu Chelsick sio timu bana Umafia tu kuanzia kwa Abraham o vich mwenyewe..