Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ONE OF YOU is going to really hate me tomorrow!!!

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong. utatusoma tu mwaka huu nimetonywa una mpango wa kukimbilia Mancs maana ndio zako hizo khe kh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa hiyo ile game Saints walibebwa na refa?
Chelsea ndio walibebwa. Ile mechi Saints walikuwa wanainyonga Ze Moureen 5- 1, au 7 -1.

Ze bluuzzz wana bahati ya kulia lia na kupendelewa. Inaudhi. Wapigwe tu!
 
Mourinho alilalamika kua hiyo timu ilibebwa au alilalamika juu ya nini?
Mou alilalamika juu ya Ze bluuzz kupata "fake result" na kuwa "best team lost" . Haaa haa, teh, teh

Akubali tu kuwa timu la kubebwa ilizidiwa kimpira, huo ndio uanamichezo na ustaarabu pia.

Kupayuka kwake ndio kitu wanapenda wanahabari wa UK. na anajitafutia majanga.

Chelsea 1-3 Southampton Barclays Premier League RESULT: Graziano Pelle and Sadio Mane pile more misery on the champions | Daily Mail Online
 
12122494_10153808679077259_805056760184881965_n.png

HAPPY 27TH BIRTHDAY TO DIEGO COSTA
 
One word ....Ivanovic
Ivanovic ni uchochoro..
Haya sasa bado kumi dakika mtanange uanze...hofu yangu pekee ni pale kwa Ivanovic. Otherwise hoping for the best. Nimependa midfield kwenda mbele...perfect.

Lets go Chelsea...
Asifukuzwe apewe last chance ila
Iva, Terry wasicheze
Kwanini rahman baba hamchezeshi??
Mourinho explains why he will continue to pick Ivanovic over Baba Rahman

Link http://weaintgotnohistory.sbnation.com/2015/10/5/9453603/mourinho-ivanovic-baba-rahman
 
Anaeleweka!

Umemuelewa nn? hizi sababu za kusema BABA mfupi mara hajacheza PRE SEASON naona hazina mantiki kwa sasa, tunatatizo kwenye defense so its either MOU alilekebishe au Abramovich atamsaidia
 
Umemuelewa nn? hizi sababu za kusema BABA mfupi mara hajacheza PRE SEASON naona hazina mantiki kwa sasa, tunatatizo kwenye defense so its either MOU alilekebishe au Abramovich atamsaidia

Mourinho anazidi kujichanganya weaklink kwenye defence ya Chelsea ni kulia (Ivanovic) ,Baba Rahman ni beki wa kushoto then Azpi ndio anaenda kulia kucheza nafasi ya Ivanovic. Hii ya kutokucheza preseason nayo inashangaza Martial,Pedro,Sanchez,Aguero hawajacheza preseason na wanafanya vizuri while Ivanovic,Matic,Rooney walienda pre season na bado ni mizigo
 
tuko pamoja sana Belo
 
Last edited by a moderator:
nimeikuta kwenye website ya chelsea fc kwamba wamemaliza kumsainisha Marco Amelia!' hii imekaaje?! si dirisha lishafungwa siku nyingi?! ............
 
kalou Belo Ntuzu Manumbu
Tusilikimbie jukwaa jamani,chukulieni kupoteza ubingwa mapema hivi kama ni changamoto tu na msishikane uchawi

Najua baada ya kuja mchawi Klopp sasa mnayaogopa mno Majogoo
 
Last edited by a moderator:
nimeikuta kwenye website ya chelsea fc kwamba wamemaliza kumsainisha Marco Amelia!' hii imekaaje?! si dirisha lishafungwa siku nyingi?! ............

Kama mchezaji hana mkataba na timu yoyote na timu husika inanafasi mchezaji anaanza sajiliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom