Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mathematically bado hatujapoteza ubingwa ,,
Umegeuka "Wenger"?
Hizo za mathematically possible ndio zake.

Subiri mechi zianze tena , ndio utaona mwelekeo. Kama Ze bluuzz itaendelea kuwa "mboga" basi ndio imetoka hiyo, bado Klopp ndio ametua na ana njaa na kama Mike Dean hatakuwa mwamuzi siku hiyo, Wenger anamsubirini pia.

Huu msimu domokaya atamaliza kusoma kitabu chake na atajuta kumdhalilisha Eva.
 
nimeikuta kwenye website ya chelsea fc kwamba wamemaliza kumsainisha Marco Amelia!' hii imekaaje?! si dirisha lishafungwa siku nyingi?! ............
ENZOOOOOO, dogo fanya bidii huko shule.

Kama shule za kata zinafundisha kidhungu...jaribu hii

Free Agent/ Released player?

Player who are not bounded through contract by any club is termed as free agent. So if any club want to sign him, they need not pay anything until and unless his agent demands something. Players become free agent either they released by their former team with mutual agreement before their contract expire or their contract expire. Team who are interested in these player can sign them before the 6 month of their contract length. So suppose a player contract was going to expire in jun 2014 they can be signed in January transfer windows or just before it. Free agents do not have to be signed during the normal transfer window that is implemented in some countries' leagues.
If a player is released from their club when the transfer window is closed, they cannot sign for another team until the window reopens. A notable case of this being Sol Campbell who in September 2009 was released fromNotts County, just after a month from signing on a free transfer. He signed for his former club Arsenal in January 2010, after spending a few months training with the team to maintain his fitness

Link https://www.quora.com/How-do-transf...gets-paid-What-does-player-sold-for-free-mean
 
12096585_1605619259478284_4264640768532047860_n.jpg
 
Ntuzu, Mentor, Kalou, Enzo

Mpayukaja, Domokaya Mou alikuwa Ukraina leo. Alijitahidi kujificha lakini alionekana akilia na kuhuzunika pale Fabregas aliposhindwa kufunga kwa Penalty.

Alikwenda kuona wanamieleka wake Azpilekupukuta- kuota na Fabregas vipi wanacheza wakiwa na timu ya Taifa lao, Spain.

Muone hapa analia. Link Mourinho na meczu Ukraina-Hiszpania - Sportbuzz Meczyki.pl
 
Nonda nasikia best yako moureen kapigwa faini na FA kwa ile kauli yake kwamba marefa wanaogopa kuipatia chelsea penalty?? Hii imekaaje?
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Ding ... Dong. utatusoma tu mwaka huu nimetonywa una mpango wa kukimbilia Mancs maana ndio zako hizo khe kh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Tembelea hapa
Link Jose Mourinho dresses like a Jedi at Ukraine vs Spain match - Twitter mocks him mercilessly - Mirror Online
 
Haaaa wewe nikajua umesahau....
Ila ye nae kazidi bana, ingawa maneno yake matamu saa zingine....
Najua kwa hili ataacha maneno

Ngoja wakoritho wenzako waje watakuchambua weee!!!! Wakikuzidi niite baunsa niwasambaratishe😅😅😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom