Kwani si alisema yuko tayari kuadhibiwa au kulipa faini? Au mmesahau?
Tatzo lake anaongea vitu kwa kukurupuka ili baadae aonekane kaonewa
Anachosema ni ukweli mtupu
Kwa hiyo ile game Saints walibebwa na refa?
Mourinho alilalamika kua hiyo timu ilibebwa au alilalamika juu ya nini?
Mourinho alilalamika kua hiyo timu ilibebwa au alilalamika juu ya nini?
Mkuu tukiweka unazi pembeni, ile aliyokuwa anailalamikia mou ( ya falcao) ilikuwa ni penalty kweli?
Mourinho alisema marefa wanaogopa kuipa Chelsea penati kibaya zaidi akatoa reference hadi kwenye champions league
Pressure is pilling up!!!Okay... Umejibu vema kabisa.
Mourinho yuko sawa tena ktk uefa marefa walichemka kabisa.... Marefa watano wanashindwa kuona mtu kashika mpira kwa mkono?
Okay... Umejibu vema kabisa.
Mourinho yuko sawa tena ktk uefa marefa walichemka kabisa.... Marefa watano wanashindwa kuona mtu kashika mpira kwa mkono?