Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nzi kila siku tunawaambia Rentboys kuwa Mourinho ni mbabaishaji, nadhani sasa wataanza kuamini.Ubabaishaji unagonga mwamba kwa mara nyingine, it's a shame 8 games 8points. Hizi ni stats za timu zinazogombaniaga kunusurika kutoshuka daraja sio the defending champion

Kabisa...mzee wa ku-fluke...huwezi ku-fluke mfululizo kwa misimu mitatu...
 
Last edited by a moderator:
11059963_485282458312632_3983414968967113753_n.jpg
 
Moureeen now wants ''fourth position'' khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahahhah mkuu tafadhali 'fourth position' teeeeh teeehe

Kwa uwezo wako naomba kale kapicha wakati Mou anajilaza kwenye kiti baada ya kulalamikia penati ya kijanja ya Falcao
 
M still blue...nikitulia nitaelezea my view of the game.

Bora wewe umepata guts za kutia mguu humu...maana kuna watu humu wanapenda kupiga domo kwa wengine...lakini sasa wamejikunyata...au watasingizia hakuna umeme, maana nasikia sasa #MkataUmeme wa TANESCO ndiye anafanya kwa vitendo kauli mbiu ya maCCM #HapaKaziTu
 
Bora wewe umepata guts za kutia mguu humu...maana kuna watu humu wanapenda kupiga domo kwa wengine...lakini sasa wamejikunyata...au watasingizia hakuna umeme, maana nasikia sasa #MkataUmeme wa TANESCO ndiye anafanya kwa vitendo kauli mbiu ya maCCM #HapaKaziTu

Nilimuambia @ntuzu kuwa morinho lazima afukuzwe
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Enzo, Ntuzu, Mentor, Kalou, CleverKing,
Ninyi ni mabingwa bana and this is another "fake result"

Ze bluuuzz 1 - 3 Ze wanyongaji

Mentor vipi kilio kinaendelea?

Anapoenda Mou, ndipo anapokwenda Ntuzu.

Kalou, "mind the gap"

Enzo,CleverKing umeona litimu langu leo lilimharibieni siku?

C. Palace, Leicester, South..... Matimu dume msimu huu.

Wiki kesho Ze bluuz iinarudia nafasi yake ya msimu huu 17.
 
Maureen .... ..''the referees are afraid to give chelsick decisions'' .. ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee analilia penalty ... ... what a loser.

'If the club wants to sack me, they sack me, I'm not running away from my responsibilities'

'If the club sacks me, they sack the best manager this club had'

😂😂😂😂

Jamani mpeni ulinzi Maureen...maana kama hajaokota makopo kesho, basi atajitundika 😂😂😂😂

ONE OF YOU is going to really hate me tomorrow!!!
 
Kabisa...mzee wa ku-fluke...huwezi ku-fluke mfululizo kwa misimu mitatu...

Ndio difference ya great coaches na just good coaches. uwezo wa ku-rejuvenate msimu baada ya msimu baada ya msimu badala ya kukimbia toka katika ligi moja hadi nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Bado twaweza chukua kombe ila kuna watu watimuliwe pale tukianza ma Falcao, Costa, Terry, Iva, Cahill
 
Mourinho says the ref should have given his team a penalty. Koeman: Then it would have been 5-2.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wakuu poleni
Naona siku hizi mmekuwa kama Liverpool

Mkuu umetukosea sana tena sana yaani unaifananisha Liverpool na Yokohama tyres team ambayo hata ukitumia tablet kwenye table haionekani size yake ni Aston villa, Sunderland na Newcastel
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Imeniuma sana mpka steam zimeniruka kabisaa.kwa nn team yetu inafungwa iviiiiiiiii?imeniumaaaaaaaeeeeeee iiiiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom