Chelsea boss Jose Mourinho has been given a suspended one-match stadium ban and fined £50,000 by the Football Association for comments made about match officials.Mi namsubiri rafiki yangu nonda aje atupe habari kamili hapa
Haaaa wewe nikajua umesahau....
Ila ye nae kazidi bana, ingawa maneno yake matamu saa zingine....
Najua kwa hili ataacha maneno
Kwanza wanaanza na kukwapua 50elfu, na hiyo kusema watamtandika "virungu" atakapoleta mdomo mdomo tena niJose Mourinho has been given a suspended one-match stadium ban and fined £50,000 by the Football Assocation.
Suspended inasubiri ufanye kosa lingine ndio hukumu hio inatumika. So kwa sasa hajafungiwa atalipa fine tu
Kwanza wanaanza na kukwapua 50elfu, na hiyo kusema watamtandika "virungu" atakapoleta mdomo mdomo tena ni
kumpa kamba ili ajitie kitanzi mwenyewe.
Dugu alipo nipo..Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?
Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.
Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....
Analipwa kiasi gani kwa mwaka? Alafu ukitoa hiyo 50,000£ inapunguza nini ktk hilo pato lake kwa mwaka? Au hicho ki 50,000 ni kitip tu kwa José Mourinho?
Atasema sn tu na bado atawasema vzr tu iwapo waamuzi wataboronga.... Km hiyo ban ya game moja na ije. Atafatilia mechi kwa tv na kutoa maelekezo kwa sim km game ya Munich 2005.
Mbona hivi ni vijimambo tu vidogo....
Dugu alipo nipo..
Hivi umesoma mahesabu?
100 - 50 ni ..........
Au ndio ameamua kuchangia FA charity kwa njia ya mipasho?
Sasa dugu yangu gazabu na hasira za kipigo kitakatifu mlichopata kwa Southampton hazijaisha bado?
Si nilikwambia "poleeee"
Unakusudia kusema ile kujiangusha kwa Falcao ilikuwa ni foul na penalty..? Hivi kweli mwamuzi alimlima Falcao kadi ya njano kwa kujigaragaza bila sababu? Au mwamuzi alimmwonea huruma? Nikumbushe..
Bobby Madley was correct to turn down Radamel Falcao's penalty shout against Southampton, according to former referee Dermot Gallagher.
INCIDENT: Radamel Falcao (Chelsea) penalty claim against Southampton
![]()
Falcao goes down before Maarten Stekelenburg touches him in the penalty area
THE SCENARIO: Cesc Fabregas threads a through ball to Falcao, who has to get past Jose Fonte before catching sight of goal. He muscles his way beyond the defender but by then the ball is running towards goalkeeper Maarten Stekelenburg. He comes off his line and Falcao touches the ball away from goal before apparently being taken out by Stekelenburg.
TV replays from two other angles show no contact was actually made before Falcao had started falling, although the players would likely have come together had he stayed up. Falcao is cautioned for simulation and no penalty is given.
GALLAGHER'S VERDICT: Correct decision.
GALLAGHER SAYS:When you look at it from the main angle you see, yes, it is a penalty. I watched the game live on Saturday night and thought it was a penalty but looking at it from the other angle, when I saw these pictures I thought it was 100 per cent not a penalty.
What you would say is Falcao has gone down well before any contact was made and the referee has got it right despite seeing it from a different angle to what I saw on TV. You can't beat a man up for getting it right.
Link Ref Watch: Dermot Gallagher analyses the weekend action | Football News | Sky Sports
Saa zingine tuache ushabiki hata pale penye ukweli bado tuteteee, Morinho kakosea na huwa anakosea...
Yeye akifungwa ndio anawakosoa marefa , akishinda haongei kitu, msimu huu katuletea mambo ya ajabu Man City walipotufunga akaenda sema matokeo ni fake....
Abro na Board inamwacha Morinho sababu ana mkataba mrefu na wakimtoa wataingia hasara sana.....
Sio kuwa wanampenda ila wanaangalia economy side
Kila mmoja na mtazamo wake....
Sometimes unakuwa na mtazamo wrong....lazima ukubali ndio maana ya kujadiliana,that was not a penalty,Mourinho's comments were wrong.
Majadiliano ni pamoja na kutokukubaliana mambo
Nitabaki na msimamo wangu na wewe baki na msimamo wako
Ntuzu
Usiweke mapenzi mbele ya ukweli...
Hujui UEFA Champions League, Munich ni Di Mateo na sio Morinho?
Hujui Anceloti kachukua UEFA na timu iliyomshinda Morinho?
Kwa kiwango cha sasa tuache mapenzi tuwe wakweli....
Kinachosababisha Morinho asitimuliwe ni hasara watayopata endapo watamtimua....