Nipo kijiji napata shida ya network hapa nimepanda juu ya kilima nimesema sitaweza kulala bila ya kutoa salaam za rambirambi,nimesikitishwa sana na msiba huu hakika nimeguswa na ninatetemeka kwa majonzi, poleni sana bandugu kwa kipindi hiki kigumu mnachopitia hakika mtiwe nguvu,Chelsea tulikupenda sana ila EPL imekupenda zaidi , Buriani Chelsea we will miss you, .....#keeptheblueflagflylow