6 years ago team kama madrid walikua happy kupata sare anfield
Now team za daraja la pili zisizojulikana kweny world football walk away from anfield wakiwa disappointed hawajatoka na all three points....
Thats brendan rodgson bogerman's effect. ..halaf now harespect fans wa liverpool.he is toying with our feelings n he is trolling us kwa kaul zake.....anadai bado ana''rebuild'' team. As if he built something in first place. Mtu yupo msim wa nne halaf anadai anarebuild
Only logical explanation kwann br hajafukuzwa mpaka now huenda FSG wanauza team. Myb hawataki kubadil kocha wakijua wapo karib kuuza team. Hamna reason yyt inayoweza kueleweka