Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Teh teh teh teh..... Yule Jones km taahira hivi? Yule Urojo si ndo sampuli za kina Shaw?

Shikamooooooo Hector.......

Alafu Hector baada ya kuvunja mguu wa Dancer mmoja yeye akapewa man of the match.
yule anakaza mwanzo mwisho. rojo anajua huyo costa wenu ipo siku atakaa tu

waliompa hawajielewi kabisa
 
Rojo arudi kwa gym kwanza vinginevyo yaliyomkuta Shaw na yeye yatamkuta. The beast akirudi huko atakua na hasira vibaya ni kukumpura tu vidancers.....

Wanajielewa sn tu ndo maana wakampa hiyo nafasi... Ata kwangu Mimi Yule Hector ni My Hero....
 
wachezaji wa latin amerika si unajua kazi yako sasa huyo costa atakutana na mwenzie ndo atajua vizuri. mguu wa shingo mguu wa roho
 
EPL atakuwa umeanza karibuni mtafutie clip ya van nestroi vs arsenal 2003-2004 akapewa tuta akachemka, Ryan babel wa rivapul alipigwa ban kwa katuni ya web

Hii itakuwa Past Tense........hahahhahahha mwalimu wangu wa English course cute b nimepatiaaaa??????
 
Last edited by a moderator:
Mike Dean Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mike Dean juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hivi Webb yupo wapi siku hizi?, au walistaafu pamoja na Mzee Alex? Hakujawahi kutokea Refa mwenye mahaba kwa timu kama alivyokuwa Webb
 
Hii itakuwa Past Tense........hahahhahahha mwalimu wangu wa English course cute b nimepatiaaaa??????

Hahahaaaaa excellent... umepatia kabisa.
Kumbe anaongelea 2003 nikiwa la 4 kweli man u team bora maana mara yake ya mwisho kubebwa ni 2003 hezeiyaaa kwanzia hapo hadi leo inajibeba mwenyew
 
Last edited by a moderator:
Unabahati picha zote nimefuta kwa simu yangu lkn ngoja nirudi home kwa PC yangu nivurumishe zile lvg kaolewa na Mourinho.....

Hii nayo itakuwa ni Past Tense hahaha mavi ya kale hayanuki ati! !!!! Tulia tukutunze wewe eeeeee Dj weka music wapi mamaaa cute b......
 
Last edited by a moderator:
Costa mjanja Yule umeona alivyomfanya?
Mjanja Gaidi huyu?????? Are you serious don't be like your father Mc Moureeen
 
Attachments

  • 1442907340902.jpg
    1442907340902.jpg
    53.9 KB · Views: 63
Hahahaaaaa excellent... umepatia kabisa.
Kumbe anaongelea 2003 nikiwa la 4 kweli man u team bora maana mara yake ya mwisho kubebwa ni 2003 hezeiyaaa kwanzia hapo hadi leo inajibeba mwenyew

Na ndio maana hawana kikombe chochote tangu babu aondoke, maana yeye ndio alikuwa mastermind wa kila kitu, kuanzia kupanga ratiba za mechi, kupanga marefa huku akihakikisha kuwa Webb anacheza mechi za Man u,

sasa kwisha habari yenu, zama za red shirt kwenye EPL zimeisha, sasa ni Mwendo wa Blue tu, The Tru Blu (Chelsea) na blue mpauko Man City
 
Hata mimi naona ni zama za blue tu.....hahahaha my kaka kila jambo na Majira yake siyo kila siku ni Jumapili ya ushindi kuna ijumaa ya mateso pia, Wacha tucelebrate siye. .......
 
Hii nayo itakuwa ni Past Tense hahaha mavi ya kale hayanuki ati! !!!! Tulia tukutunze wewe eeeeee Dj weka music wapi mamaaa cute b......

Mamy waambie yale magoli matatu ya UEFA waliyokuw wanajitamba nayo wayahamishie kwenye EPL Hahahahaaa ngoma inogireeeeee
 
Last edited by a moderator:
Na ndio maana hawana kikombe chochote tangu babu aondoke, maana yeye ndio alikuwa mastermind wa kila kitu, kuanzia kupanga ratiba za mechi, kupanga marefa huku akihakikisha kuwa Webb anacheza mechi za Man u,

sasa kwisha habari yenu, zama za red shirt kwenye EPL zimeisha, sasa ni Mwendo wa Blue tu, The Tru Blu (Chelsea) na blue mpauko Man City

Chelsea nyumaaaaaaazzz geuka! Kha nafasi ya sita pamoja na kuwapendelea kote hahahaaaa top 15 Hatareeeeeeee
 
Mamy waambie yale magoli matatu ya UEFA waliyokuw wanajitamba nayo wayahamishie kwenye EPL Hahahahaaa ngoma inogireeeeee

Hahahhhahahaha mumy umeua, Ntuzu hamishieni huku zile point 3 mtakuwa na 10 aiseee mtakuwa mmesogea sana.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom