Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,545
- 35,405
hivi yule zouma nae sio bondia kweli?Hahahaaa bondia huyo zaidi ya gari aina ya costa
hivi yule zouma nae sio bondia kweli?Hahahaaa bondia huyo zaidi ya gari aina ya costa
bora rooney. huyo costa majanga. tatizo anataka asikabwe. rooney ana hat-trick msimu huu costa je?
View attachment 289689
Maharwage ya mbeya hahahaaaa.. ndio maana nimesema ni enzi hizo club inaitwa chelsea ila sasa hivi hamna kituuuu
ila rooney anajua. huyo costa msimu uliopita alianza kwa mbwembwe sasa hivi kwisha habari yake. watu wanamkaba mpaka anageuka kuwa bondiaRooney ana ubora gani? Mchezo wenu juzi na Soton mpk sura ya Rooney ilikua na huzuni.... Ana bahati sn hicho kiuraia cheke vinginevyo benchi lilikua lina muhusu. Cost ni mnyama.... Ni striker makini anajua kz vzr.
Tulia uko wewe....huyu mbona hanitishi kabisa
hahahaha don panicTulia uko wewe....
Alafu wewe ntakunyima chululu muone huko kwanza
hivi yule zouma nae sio bondia kweli?
ila rooney anajua. huyo costa msimu uliopita alianza kwa mbwembwe sasa hivi kwisha habari yake. watu wanamkaba mpaka anageuka kuwa bondia
hahahaha acha kunifurahishaYule navunjika muguu sio dancer wa Ali kiba kweli?
basi na wewe mpira hujacheza ndio maana unamuona rooney hajui. messi mwenyewe amemkubali rooneyTatizo mpira wewe hujacheza ndio maana unaona Costa hajui. Teh teh teh
Yule naitwa Shaw ni dancer wa Kiba maana angekua kwa Dai angejidai sn.... Yule mrembo tu.... Mwanaume lazima uwe ngangari.... Shikamooooooo Hectorhahahaha acha kunifurahisha
basi na wewe mpira hujacheza ndio maana unamuona rooney hajui. messi mwenyewe amemkubali rooney
ile ajali kazini tu.Yule naitwa Shaw ni dancer wa Kiba maana angekua kwa Dai angejidai sn.... Yule mrembo tu.... Mwanaume lazima uwe ngangari.... Shikamooooooo Hector
Unaona sasa ulivyo mzito kuelewa. Yani Mimi km ningekua ndio striker wa Chelsea hao mabeki wa gunners ningewapiga madole tu ya makalioni upesi wakome..... Teh teh teh
ile ajali kazini tu.
Yule naitwa Shaw ni dancer wa Kiba maana angekua kwa Dai angejidai sn.... Yule mrembo tu.... Mwanaume lazima uwe ngangari.... Shikamooooooo Hector
Unaona sasa ulivyo mzito kuelewa. Yani Mimi km ningekua ndio striker wa Chelsea hao mabeki wa gunners ningewapiga madole tu ya makalioni upesi wakome..... Teh teh teh
yule anafanya kusudi sana. anajifanya mtemi sana. angekuwepo enzi za vidic na rio mbona angeshika adabuKm ya Diego Mwana wa Costa.......
Ngoja nisubiri majibu yako......yerewiiii
mashabiki wa chelsea na wachezaji wao akili zinafanana ona sasa
itafika zamu yenu mtafanyiwa hivi hivi na mtalalamika piaHahahahaaaa umeona? Yani wewe ndio bure kabisa hujui mpira kabisa. Hizo ni mbinu nzuri sn na zinafanya kz km vile Gabriel alivyoingia kichwa kichwa yeye ndo akala Red.
yule anafanya kusudi sana. anajifanya mtemi sana. angekuwepo enzi za vidic na rio mbona angeshika adabu
kuna jones, rojo atawajua tuIla enzi hizi zama za kina Shaw warembo atawatesa sn!
kuna jones, rojo atawajua tu