Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
usije ukakimbia wewe
Nikimbie Mimi we unaota?
usije ukakimbia wewe
Weeeeeeee Tulia hapo hapo tukutunze.....halafu mimi kama katibu wa vigodoro nasema hivi tutavunja nanyi uteja maana nyie mkija kucheza kwetu tunashirikiana nanyi kila kitu na mnapotutunza katoon zenu tunazipokea kwa shangwe ila nyie sasa wote mmejificha mmetuacha tunacheza wenyewe,raha ya kigodoro mwenyeji awepo tucheze wote atunzwe zawadi yake, Dj cute b weka mziki tunaenda kumtunza Ntuzu hahahhhahahaha watu weweeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Nauliza bado tu mko na kidoro? Leo nataka niende sambamba na nyie niwape za USO mpk mkimbie.....
Weeeeeeee Tulia hapo hapo tukutunze.....halafu mimi kama katibu wa vigodoro nasema hivi tutavunja nanyi uteja maana nyie mkija kucheza kwetu tunashirikiana nanyi kila kitu na mnapotutunza katoon zenu tunazipokea kwa shangwe ila nyie sasa wote mmejificha mmetuacha tunacheza wenyewe,raha ya kigodoro mwenyeji awepo tucheze wote atunzwe zawadi yake, Dj cute b weka mziki tunaenda kumtunza Ntuzu hahahhhahahaha watu weweeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Naruhusiwa kusimama na kucheza? Dj cute b weka ile music inaitwa buluzi nicheze na kimwana hapa.. Hichi kigodoro cha leo kinogile
Nikimbie Mimi we unaota?
Thubutuuuuuu cheza hizo ngoma za tandale uone kz.Leo tunacheza kanga moko moko laki sio pesa jiandae
Hahahaaaaaa Ntuzu mjanja eti pamekucha kila mtu anajua kaenda kazini ndio anajidai kujitokeza na ubabe mwingi hahahaaa hapa tukirudi usiku mwee analog out anakuwa msomaji tuu
Costa angetolewa msingefunga...
Kwanza wote mngekuwa pungufu.
First half mlikuwa wote mngeonyesha ubabe wenu tuone sasa.
Second half kila red card moja na goal moja. Mnecheza na watu 9 nyie 11 na refa wenu 12 bado unaita ni ushindi?
Wenger alikuwa mteja wenu enzi mnaitwa Chelsea ila now ni chelshit kwa wenger hamsogez labla mbebwe.
Umesahau fainal ya kombe la sahani? Duuu wenger mbayaaaaaa
Huwezi mchagulia dj wimbo...ngoja nitafute nyimbo halafu jioni usiku ndio kigodoro na ole wako ukimbie
just relax
bora rooney. huyo costa majanga. tatizo anataka asikabwe. rooney ana hat-trick msimu huu costa je?Hiyo Kali tena.... Sasa ukiweka nyimbo za uchagani nani atacheza? Weka buluzi Bwana uone kimwana inavyopata burudani.
We naijua Ntuzu vzr? Badala mfikirie namna ya kumsaidia Rooney kufunga magoli anacheza na stress kila game mnakuja kuleta kigodoro huku? Mmevurugwa?
Cute Wenger hawez kwa mou usimtete kabisa angalia Sanchez na ozil wanavyopotea kwa Chelsea ila kwa timu zingine wanashine hasa usiongee kishabiki
Fact?! He heheeeee!! Unajitoa ufahamu mapema hivi?!
Thubutuuuuuu cheza hizo ngoma za tandale uone kz.
Yani leo panachimbika hapa na hizo MB 8 zenu.
Mimi nilijua utakuja na fact kumbe bla bla...
Toa reference
Hiyo Kali tena.... Sasa ukiweka nyimbo za uchagani nani atacheza? Weka buluzi Bwana uone kimwana inavyopata burudani.
We naijua Ntuzu vzr? Badala mfikirie namna ya kumsaidia Rooney kufunga magoli anacheza na stress kila game mnakuja kuleta kigodoro huku? Mmevurugwa?
Huyu cute b sijui kala maharagwe ya![]()
wapi? Wenger tangu lini akawa Zaidi ya Mou?
Mou ana makombe ya uefa mikononi mwake mawili Wenger hana ata moja. Mou ni Zaidi LvG ingawa Lvg kamfudisha Mou.
EPL atakuwa umeanza karibuni mtafutie clip ya van nestroi vs arsenal 2003-2004 akapewa tuta akachemka, Ryan babel wa rivapul alipigwa ban kwa katuni ya web
huyu mbona hanitishi kabisa