Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lamine Camara to Chelsea here we go
Tayari huko dakika za lala salama

View attachment 3661491
Lamine Camara, moja ya saga kali zaidi za deadline day.
  • Chelsea walishuhudia ofa mbili zikikataliwa na Monaco na wakahamia targets zingine.
  • Chelsea wakamuuza Enzo Fernández kwa £125m.
  • Chelsea wakaridhia kutosajili kiungo mwingine dirisha hbili.
  • Monaco wakaendelea kuzuia uuzaji baada ya mauzo ya £40m ya Flo Balogun kwenda Everton kukubalika.
  • Changamoto kwenye vipimo vya afya vya Balogun zikaisukuma Everton kusitisha usajili wa Flo Balogun na kuelekea kwa Josh Zirkzee.
  • Monaco wakawa wanahitaji uuzaji haraka ili kuweka sawa vitabu vyao vya fedha.
  • Wakapunguza ada ya Lamine Camara kutoka €70m waliosimamia hapo mwanzo hadi ada ya €55m.
  • Wakawaomba Chelsea warudi kwenye meza ya manunuzi na Chelsea wakakubali
  • Mara dili Monaco na Chelsea wakakubalian dili na Fabrizio Romano akaandika HERE WE GO
  • Camara sasa amemaliza vipimo vya afya yake kule Ufaransa chini ya usimamizi wa Chelsea na atawasili Jumatano kama mchezaji wa Chelsea
  • Everton wafufua majadiliano ya kum,sajili Flo Balogun kwa kupunguziwa bei na hapo hapo Monaco wanakaa kusaini document za usajili wa Lamine Camara na dili linafeli.
  • Baada ya kuona hayo, Flo Balogun (Mmarekani anabadili msimamo kuwasaidia Wamarekani wenzake) anaondoka klwenye maeneo ya mazoezi ya Everton na dili la Flo Balogun nalo linafeli
  • Sasa Chelsea wako kwenye matatizo ya viungo wachache wakati huo huo Monaco watakuwa kwenye sekeseke la kupewa adhabu kwa sababu vitabu vyao vya fedha hafitakuwa salama
 
Monaco wameniuzi sana tuombe msimu huu Caicedo awe fit tofauti na hapo tumekwisha
 
Ili inabidi mashabiki wenzangu mlielewe Lamine Camara alikuwa anakuja kama mchezaji anaenda kuongeza upana wa kikosi sio replacement ya Enzo kwa mujibu wa Alonso na management nzima ya Chelsea.Wachezaji walikuwa wanawata kama replacement ya Enzo ni Alex Scott, Wharton na Gibbs White ila Sasa vilabu vyao vimekataa kuuza ndio maana option ikaja kwa Manu kone naye Roma wakakataa kumuuza ndio ikabidi wamgeukie Camara ambaye profile yake ni tofauti na Enzo kwahiyo kusisita kwao kutopenda na muda ni kwasababu target zao kuu kukosa kwenye hili siwalaumu sana kwasababu wameshafanya kazi kubwa msimu huu.

NB: Mpaka Sasa tuna viungo Reece James, Lavia, Barco na Henderson na kiukweli Lavia na Reece sio wakuwatumainia ni injury prone so nachokiona ni wakati Sasa Alonso kumuamini Barco inawezekana kumkosa Camara dakika za mwisho ndio kutakuwa ni ufunguo wa Alonso kumuamini Barco na jambo zuri ni kwamba tunacheza mechi moja kwa wiki moja kwahiyo tuna muda inaweza hili kutusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom