Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata mimi naona ni zama za blue tu.....hahahaha my kaka kila jambo na Majira yake siyo kila siku ni Jumapili ya ushindi kuna ijumaa ya mateso pia, Wacha tucelebrate siye. .......

Duuu mbona siwaoni mamy the buluzi wapo wapi?
 
Hahahhhahahaha mumy umeua, Ntuzu hamishieni huku zile point 3 mtakuwa na 10 aiseee mtakuwa mmesogea sana.

Hahahaaaaa unakumbuka ile siku sisi na asenal tulivyopoteza walitugawia goli moja moja... duuh walijivuna hao..
Wayalete huku kwenye PL sasa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa unakumbuka ile siku sisi na asenal tulivyopoteza walitugawia goli moja moja... duuh walijivuna hao..
Wayalete huku kwenye PL sasa

Wamesahau kwamba mla vya wenzie navyake huliwa ona sasa wametuacha peke yetu wapi Mentor mzee wa katuni wapi ENZO mzee wa zomea zomea njooni huku bana tuwatunzeeeee ni zamu yenu sasa...lol
 
Last edited by a moderator:
Akiweka mguu shigoni Costa ataweka mikono machoni...
Patamu hapo hahahahaaaa

Kaka nakuaminia simama nao hao, walipokuwa na Cantona, Roy Keane, Van nestrooy, Paul Scoles, waliona ni poa tu, leo mtoto wa America Kusini anawaonyesha Mpira wa kiumeni wanapiga kelele

Baelezege bakuelewe, na bado
 
Duuu mbona siwaoni mamy the buluzi wapo wapi?

Wamejificha wako bize kusaka salary pole wewe unayefanya kazi Facebook hahahhahahha Ngoja uje upewe madongo Yao mi nishaanza kukupa hahahahahahahahhah hehehheheiyaaaaaaaaa., khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee ding dong ding
 
Wamesahau kwamba mla vya wenzie navyake huliwa ona sasa wametuacha peke yetu wapi Mentor mzee wa katuni wapi ENZO mzee wa zomea zomea njooni huku bana tuwatunzeeeee ni zamu yenu sasa...lol

Hahahaaaaaa umesahau mamy mashabiki wa chelbus wanakujaga kwenye uzi wao siku wakifunga tuu?
Na siku wakifunga ndio wanakumbuka kuvaa jezi zao za blue?
Ngoja wafunge mechi ya kesho watakuja
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa umesahau mamy mashabiki wa chelbus wanakujaga kwenye uzi wao siku wakifunga tuu?
Na siku wakifunga ndio wanakumbuka kuvaa jezi zao za blue?
Ngoja wafunge mechi ya kesho watakuja

Mashabiki mandazi hehehehhe
 
Chelsea nyumaaaaaaazzz geuka! Kha nafasi ya sita pamoja na kuwapendelea kote hahahaaaa top 15 Hatareeeeeeee

Mrembo B, wala usiwe na wasiwasi ndio tumeanza league hivyo, msimu uliopita tulichukua ubingwa huku tumepoteza mechi nne tu, sasa tumepoteza tatu, so nafasi ya kuchukua Ubingwa bado ni kubwa sana, huku ukichukulia matokeo ya last week, Muongoza league keshadondosha point mbili

sisi sio waongeaji sana,
 
Wamejificha wako bize kusaka salary pole wewe unayefanya kazi Facebook hahahhahahha Ngoja uje upewe madongo Yao mi nishaanza kukupa hahahahahahahahhah hehehheheiyaaaaaaaaa., khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee ding dong ding

Hahahaaaa sio facebook mamy ni fesibuku hahahaaaaaaaaa kwi kwi kwiiiiii huko kwa the blauzzzz patamu sitamani hata kuondoka. ENZO yupo shule
 
Last edited by a moderator:
Mrembo B, wala usiwe na wasiwasi ndio tumeanza league hivyo, msimu uliopita tulichukua ubingwa huku tumepoteza mechi nne tu, sasa tumepoteza tatu, so nafasi ya kuchukua Ubingwa bado ni kubwa sana, huku ukichukulia matokeo ya last week, Muongoza league keshadondosha point mbili

sisi sio waongeaji sana,

Me waiting a new season kwi kwiiii kwiiiiiiiiii
 
Kaka nakuaminia simama nao hao, walipokuwa na Cantona, Roy Keane, Van nestrooy, Paul Scoles, waliona ni poa tu, leo mtoto wa America Kusini anawaonyesha Mpira wa kiumeni wanapiga kelele

Baelezege bakuelewe, na bado
Kituko bana embu acha Kituko sasa mambo ya zamani yanahusu? Sisi tunaishi kwa leo, juzi ,jana ,kesho na kesho kutwa haituhusu kabisaaa, embu Wacha tuifurahie leo maana haitakuja tokea siku kama ya leo.......
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unategemea waamuzi ili kuishusha Chelsea? Una uhakika gani kama Costa angepigwa red Chelsea angefungwa hizo goli ulizozitaja? Wenger ni mteja kwa Moureen na atasubiri sana!!

Binafsi nimefurahi Costa kupigwa ban ili tumuweke Remy,nyie wenyewe ndio mtajuta na kuanza kulia lia Oooh! bora hata Costa huyu Remy ni moto!!

Tulieni acheni kufanya Sherehe zisizo na maana,vichapo vipo njiani vinakuja
Kumbe unamuogopa Costa kiasi hicho?!!
Mpaka unatamani angefungiwa nusu msimu!!

Costa akirudi atakuwa kisha pewa maneno na kujirekebisha tabia kwa hiyo kazi atakayokuwa kabakiza ni kutupia Mipira nyavuni tu.
Mfalme usiye na maarifa.

Umeandika nini hapo?

Kwa nini Costa apewe maneno? Amefanya nini?
Costa ana tabia chafu, mbaya? Ipi hiyo?
 
Kwa hiyo unategemea waamuzi ili kuishusha Chelsea? Una uhakika gani kama Costa angepigwa red Chelsea angefungwa hizo goli ulizozitaja? Wenger ni mteja kwa Moureen na atasubiri sana!!

Binafsi nimefurahi Costa kupigwa ban ili tumuweke Remy,nyie wenyewe ndio mtajuta na kuanza kulia lia Oooh! bora hata Costa huyu Remy ni moto!!

Tulieni acheni kufanya Sherehe zisizo na maana,vichapo vipo njiani vinakuja

Costa angetolewa msingefunga...
Kwanza wote mngekuwa pungufu.
First half mlikuwa wote mngeonyesha ubabe wenu tuone sasa.
Second half kila red card moja na goal moja. Mnecheza na watu 9 nyie 11 na refa wenu 12 bado unaita ni ushindi?
Wenger alikuwa mteja wenu enzi mnaitwa Chelsea ila now ni chelshit kwa wenger hamsogez labla mbebwe.
Umesahau fainal ya kombe la sahani? Duuu wenger mbayaaaaaa

Cute
Kama Mwamuzi aliona na kufanya maamuzi sahihi. Costa alikuwa apate ile kadi ya rangi ya damu. Mchonga meno angesalimika na Chelsea wangesoma ubao ukisomeka 3,4,-0. Pia kama Arsenal wangetangulia kufunga Santi C asingejipeleka kupata kadi ingine ya manjano

Chelsea wangebakia 10 au 9, na Arsenal wangekuwa na wachezaji 11 uwanjani.
Mwamuzi aliamua kuibeba Ze bluuzz.

Mimi nilipendelea tupate burudani kwa kuwepo wachezaji 22 uwanjani kwa muda wote wa mchezo, lakini "dark art" haikuruhusu hilo litokee.

Ntuzu na Mentor sijui wangesafirishwa matibabuni India kama mwamuzi hakubuni matokeo ya kuipa ze bluuzz point 3?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom