Cute
Kama Mwamuzi aliona na kufanya maamuzi sahihi. Costa alikuwa apate ile kadi ya rangi ya damu. Mchonga meno angesalimika na Chelsea wangesoma ubao ukisomeka 3,4,-0. Pia kama Arsenal wangetangulia kufunga Santi C asingejipeleka kupata kadi ingine ya manjano
Chelsea wangebakia 10 au 9, na Arsenal wangekuwa na wachezaji 11 uwanjani.
Mwamuzi aliamua kuibeba Ze bluuzz.
Mimi nilipendelea tupate burudani kwa kuwepo wachezaji 22 uwanjani kwa muda wote wa mchezo, lakini "dark art" haikuruhusu hilo litokee.
Ntuzu na Mentor sijui wangesafirishwa matibabuni India kama mwamuzi hakubuni matokeo ya kuipa ze bluuzz point 3?