Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu keleleeee, hawalali

Chelsea oyeeee

pamoja na keleeleee zoteee

Chelsea kashinda 2-0

Chelsea oyeeee

pamoja na kelele zote point tatu ziko kibindoni

Chelsea oyeee

Wachezaji kama Diego Costa ni muhimu sana kwenye timu kwa ajili ya kuwatoa watu mchezoni

Chelsea oyeeee
 
Unajiliwaza kwa kuangalia table naona! Ila usisahau aliyepo position 15 na position 6 tofauti ni 2 pts tu....achana na msimamo wa league for now utakudumaza akili na kukuongopea tu!!

Mabondia fc
 

Attachments

  • 1442896964816.jpg
    1442896964816.jpg
    22.9 KB · Views: 38
Watu keleleeee, hawalali

Chelsea oyeeee

pamoja na keleeleee zoteee

Chelsea kashinda 2-0

Chelsea oyeeee

pamoja na kelele zote point tatu ziko kibindoni

Chelsea oyeee

Wachezaji kama Diego Costa ni muhimu sana kwenye timu kwa ajili ya kuwatoa watu mchezoni

Chelsea oyeeee

Mike Dean Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mike Dean juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kumbe unamuogopa Costa kiasi hicho?!!
Mpaka unatamani angefungiwa nusu msimu!!

Costa akirudi atakuwa kisha pewa maneno na kujirekebisha tabia kwa hiyo kazi atakayokuwa kabakiza ni kutupia Mipira nyavuni tu.

kitu kitanifanya nimuogope costa a.k.a mwana mieleka.

yule kubadilika sijui wachezaji wa latin amerika wakorofi sana.
kaishiwa yule hana jipya
 
Heheheeee uchungu wa costa naona umeubeba wewe.
View attachment 289663
Hamna inayoitwa hivyo ila kuna inayoitwa mwanitesa united.
Yaan chelshit fans mnakuwa kama mike dean? Hahahaaaa kosa ni moja ila mnaona la wenzenu kosa tuu.
Sawa nimewaita chelshit napewa red ila hamna namna FA wakikaa wataona na kosa lako la kutuita mwanitesa united then u ta be banned kigodoro kitaendelea..
Bwahahahagaaaaaa


Hahahaaaaaaaa!! Haya Bibie ila Ujue hilo mnaloliita Basi limeshakata breki njiani linapitia kila kitu kama Sunami...
 
Mike Dean Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mike Dean juu zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Hoyeeeeeeee jezi namba 10 hoyeeeee. Mamy kumbe mike dean ni mchezaji wa Yokohama
 
Last edited by a moderator:
Nauliza bado tu mko na kidoro? Leo nataka niende sambamba na nyie niwape za USO mpk mkimbie.....

Weeeeeeee Tulia hapo hapo tukutunze.....halafu mimi kama katibu wa vigodoro nasema hivi tutavunja nanyi uteja maana nyie mkija kucheza kwetu tunashirikiana nanyi kila kitu na mnapotutunza katoon zenu tunazipokea kwa shangwe ila nyie sasa wote mmejificha mmetuacha tunacheza wenyewe,raha ya kigodoro mwenyeji awepo tucheze wote atunzwe zawadi yake, Dj cute b weka mziki tunaenda kumtunza Ntuzu hahahhhahahaha watu weweeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Haya sasa ni "MAHABA"Peter Cech kasahau chumba cha kubadilishia nakutaka kuingia cha chelsea
[video]https://mtc.cdn.vine.co/r/videos/D2C15B0C421256985214153527296_ 3907bb72603.3.1.71772018383304 19683.mp4?versionId=jSnSVeT2u_ psM47F1Po_V4PcHTdKaqsW[/video]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom