Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Nilidhani wazungumzia kiu ya EPL maana nyie mnayo ya miaka mitatu na sisi ya miaka mitano..Nikwambie kitu mkuu...Baada ya Arsenal timu ninayoipenda katika EPL ni The Blues a.k.a Chelsik...Tangu miaka hiyoooooo...Mambo ya akina Dennis Wise,Gianfranco Zola,Gianluca Viali,Ruud Gullit,Ed de Goey,Tore Andre Flo,Graeme Le Saux,Marcel Dessailly,Frank Lebouf,Roberto Di Matteo,Gustavo Poyet,(baadaye) George Weah n.k...Nakumbuka mwaka 1999 hiki kikosi kilimpiga Man Utd bao 5 bila kama sikosei,Man Utd golini walimuweka kipa mmoja mbovu aitwa Massimo Taibi
Ahsante mkuu, umemsahau hapo Dan Petrescu, hilo chama lilikuwa balaa. Karibu home basi unashangaa nini huko Emirates?🙂