Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni sana kwa ushindi Chelsea..Nimefurahi mumemuondoa Belo Kileleni
 
Tulienda kuchimba dawa kidogo tukawaacha Man watushikie usukani! Teves mwaka huu mpaka mmwombe msamaha! Yaani akiziona nyavu za man mbele yake anapandwa na mzuka mara dufu!
 
Hahahaha napata raha sana kuwachokoza! waliongoza ligi wakataka ligi iishia pale
Walikuwa wanashangalia kuongoza ligi kwa siku tatu, sijui wakichukua kombe itakuwa vipi? Kiu ya ubingwa hiyo miaka mitano si haba! Ninawaogopa Manure zaidi kuliko Fat Arse, naombea watoke sare mechi this weekend.
 
Ahsante. Kumbuka na wewe umeondoka kileleni.

Siwapendi Manure so hata wanapokaa kileleni donge lanikaa mpaka basi...Thank God mmeshinda na kuwaondoa kileleni leo...Kwa ubingwa mimi nawapa zaidi Chelsea Man Utd siwapi nafasi kabisa(nilishasema tangu awali) ila Chelsea wakiteleza tu Arsenal tunachukua...Jumapili tunamchapa Man Utd(shika maneno yangu Home b),natumaini utakuwa upande wetu katika suala zima la kushabikia mechi hiyo😀😀😀
 
Walikuwa wanashangalia kuongoza ligi kwa siku tatu, sijui wakichukua kombe itakuwa vipi? Kiu ya ubingwa hiyo miaka mitano si haba!

Kila mtu anashangilia kuongoza ligi bana..kuhusu kiu ya kuchukua kombe sio sisi tu,hata nyinyi pia mna kiu bana...Waulize Liverpool wao ndo wana mchanganyijo wa kiu na njaa ya kombe maana wao ubingwa wa EPL wanausikiaga kwenye bomba tu(kama ilivyokuwa kwa Chelsea kabla haijachukuliwa na Abromavich)
 
Siwapendi Manure so hata wanapokaa kileleni donge lanikaa mpaka basi...Thank God mmeshinda na kuwaondoa kileleni leo...Kwa ubingwa mimi nawapa zaidi Chelsea Man Utd siwapi nafasi kabisa(nilishasema tangu awali) ila Chelsea wakiteleza tu Arsenal tunachukua...Jumapili tunamchapa Man Utd(shika maneno yangu Home b),natumaini utakuwa upande wetu katika suala zima la kushabikia mechi hiyo😀😀😀

Maneno mazito hayo! Ila nitawashangilia walau kidogo.....Thanks for keeping the seat warm....we are in driving seat and the road to PL champs
 
Siwapendi Manure so hata wanapokaa kileleni donge lanikaa mpaka basi...Thank God mmeshinda na kuwaondoa kileleni leo...Kwa ubingwa mimi nawapa zaidi Chelsea Man Utd siwapi nafasi kabisa(nilishasema tangu awali) ila Chelsea wakiteleza tu Arsenal tunachukua...Jumapili tunamchapa Man Utd(shika maneno yangu Home b),natumaini utakuwa upande wetu katika suala zima la kushabikia mechi hiyo😀😀😀
Mimi hiyo mechi nataka mtoke drwa ili mpoteze wote kwa sababu tofauti yenu ni pointi moja tu....nafikiri Manure ndio watatupa shida zaidi kuliko ninyi maana wana history ya kufanya vizuri nusu ya pili ya msimu. Wakati nyie mwaka juzi mkiwa mnaongoza ligi February mkachemsha ile mechi ya Birmingham City na ikawa ndio turning point, na leo mmchesha Villa (kumbuka ni Birmingham kulekule😉🙂😀) ngoja tuone kama historia itajirudia!
 
Mimi hiyo mechi nataka mtoke drwa ili mpoteze wote kwa sababu tofauti yenu ni pointi moja tu....nafikiri Manure ndio watatupa shida zaidi kuliko ninyi maana wana history ya kufanya vizuri nusu ya pili ya msimu.

Usikariri kaka...Jumapili tunamchapa Man Utd Emirates
 
Kila mtu anashangilia kuongoza ligi bana..kuhusu kiu ya kuchukua kombe sio sisi tu,hata nyinyi pia mna kiu bana...Waulize Liverpool wao ndo wana mchanganyijo wa kiu na njaa ya kombe maana wao ubingwa wa EPL wanausikiaga kwenye bomba tu(kama ilivyokuwa kwa Chelsea kabla haijachukuliwa na Abromavich)
Sisi hatuna kiu kwa sana maana tuna nyumba ndogo inaitwa FA na sometime Carling Cup....ninyi ndo mna ugwadu maana miaka 5 bila kuona ndani si mchezo!
 
Bwabwa1 mbona haonekani? hahahahaahah naona amekimbia haweki hata picha mmmmmm
 
Sisi hatuna kiu kwa sana maana tuna nyumba inaitwa FA na sometime Carling Cup....ninyi ndo mna ugwadu maana miaka 5 bila kuona ndani si mchezo!

Nilidhani wazungumzia kiu ya EPL maana nyie mnayo ya miaka mitatu na sisi ya miaka mitano..Nikwambie kitu mkuu...Baada ya Arsenal timu ninayoipenda katika EPL ni The Blues a.k.a Chelsik...Tangu miaka hiyoooooo...Mambo ya akina Dennis Wise,Gianfranco Zola,Gianluca Viali,Ruud Gullit,Ed de Goey,Tore Andre Flo,Graeme Le Saux,Marcel Dessailly,Frank Lebouf,Roberto Di Matteo,Gustavo Poyet,(baadaye) George Weah n.k...Nakumbuka mwaka 1999 hiki kikosi kilimpiga Man Utd bao 5 bila kama sikosei,Man Utd golini walimuweka kipa mmoja mbovu aitwa Massimo Taibi
 
Florent-Malouda-Chelsea-Birmingham-Premier-Le_2412266.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom