Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ona mwingine huyu hana hata aibu! Mzee wa kutangaza ubingwa
Mbona mmekimbia huko kwenye thread yenu mnakuja kutuwangia hapa?.Ngoja tumalize mechi tatu ngumu zilizobakia,sijui mtatukamatilia wapi nina uhakika kabisa hapa jamvini mtatukimbia na wengine mtakuja kutoa hongera hapa.
 
Bolini anaunguruma hapa tema cheche usikike
 
Pamoja na sare lakini matumaini ya ubingwa yapo pale pale
 
Vermaelen escapes broken leg
Gunners centre-back might play against Man United

vermaelen_2412724.jpg

Arsenal defender Thomas Vermaelen has not suffered a broken leg after limping off against Aston Villa on Wednesday.

The initial fear was that the Belgian centre-half had fractured his leg and that he could face a lengthy spell on the sidelines, but the injury is not as bad as first suspected.

Indeed, the 24-year-old could even make the starting line-up for the weekend game against title rivals Manchester United in the Premier League, although this may come just too soon.

Manager Arsene Wenger told Arsenal's official website: "There is no fracture in Thomas' leg but his injury still has to be assessed.
 
Chelsea will have 6 points from Fat Arse! Msalimie Mzenj hapo......🙂

You will end up with 3 points at maximum, two more draws at Emirates and....you know what's awaiting you at SB with Drogba back from Africa.

Safari ya kugombea 4th spot imeanza..lolz

Ukiangalia fixture ya Arsenal mechi za karibuni kazi ipo, huenda mkaanza kupotea kama misimu iliyopita

Mzee lazima nisome post zako zote! you do not spare these Fat Arse supporters, Bolini na Bwabwa1 siwaoni tokea jana!

Kulikoni? naona watu wametupiga kambi? hii ni dalili kwamba wanatuogopa, Chelskis na Mannures naona mumeunda coallition teh teh teh, wacha tuondoe hizi mechi 3 njiani baada ya hapo ni mteremko tu mpaka kufika May.
IN ARSENE WE TRUST!!
 
Arsenal tunaogopwa sana kamanda..Watu hawalali eti,tunawakosesha usingizi...Ndo maana waona tukitoka sare au kufungwa wanashangilia mpaka basi
 
Kulikoni? naona watu wametupiga kambi? hii ni dalili kwamba wanatuogopa, Chelskis na Mannures naona mumeunda coallition teh teh teh, wacha tuondoe hizi mechi 3 njiani baada ya hapo ni mteremko tu mpaka kufika May.
IN ARSENE WE TRUST!!
wamechungulia ratiba wamejua ndio wakati mgumu na waacha waendelee kuweka kambi watakimbia wenyewe humu, usiwe na wasi wasi sio mara yao ya kwanza kuweka kambi na kukimbia humu.
 
Mbona mmekimbia huko kwenye thread yenu mnakuja kutuwangia hapa?.Ngoja tumalize mechi tatu ngumu zilizobakia,sijui mtatukamatilia wapi nina uhakika kabisa hapa jamvini mtatukimbia na wengine mtakuja kutoa hongera hapa.
Bolini wewe ndio utakuwa unafanya catch up baada ya hizo mechi.
 
Kulikoni? naona watu wametupiga kambi? hii ni dalili kwamba wanatuogopa, Chelskis na Mannures naona mumeunda coallition teh teh teh, wacha tuondoe hizi mechi 3 njiani baada ya hapo ni mteremko tu mpaka kufika May.
IN ARSENE WE TRUST!!
Kwa sababu mnachonga sana especially Bwabwa1, mkiongoza ligi siku 3 inakuwa kama ndio mmechukua ubingwa baada ya 5yrs!😉😉
 
Mzee lazima nisome post zako zote! you do not spare these Fat Arse supporters, Bolini na Bwabwa1 siwaoni tokea jana!
Ndio dawa yao hawa, moto kwa moto maana wanachonga sana!😀😀😀
 
Kwa sababu mnachonga sana especially Bwabwa1, mkiongoza ligi siku 3 inakuwa kama ndio mmechukua ubingwa baada ya 5yrs!😉😉

Wacha1 where art thou???,tumevamiwa huku,kuna watu wanachafua hali ya hewa ya hapa Imarati
 
Bwabwa1 ndani ya nyumba naona ameitwa kuja okoa jahazi la Aston Village!
 
Tehe tehe ngoja nimwite Wacha1(naona ndo anatuponza mtusakame huyu)

Wacha1 where art thou???,tumevamiwa huku,kuna watu wanachafua hali ya hewa ya hapa Imarati

Tehe tehe mi sijui🙂🙂🙂....Jamaa ni mzuri sana kwa counter attacks za mashambulizi ya mashabiki wa timu pinzani

Chelsick wezi hawa wanaona tonge karibu kunyang'anywa mdomoni. Tena tunawakaribisha kwa mikono miwili wafuatilie maendeleo ya Premier league.

Usiwajali hawa pimbi wapiga tarumbeta huyo peasant kwanza huu msimu wa kilimo yeye anashirikiana na kikojozi sijui keshamkojolea. Acheni lote mwenyewe analialia itakuwa hawa pimbi uchwara.
 
...aaahhh,

hawa 'pretenders' aka Chelski nyie wanawasumbua sana akili eeh?
siku zao zinahesabika. Ubingwa wa EPL hawauchukui ng'o!!!
Mimi hawanipi tabu hawa.

Ngoja nirudi kwenye updates za Egypt Vs Algeria.
 
Back
Top Bottom