Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Kawaida yetu kushinda mtani, ndio maana tuko juu ya meza!
Sawa mumeshinda nami sina budi kuwapa hongera! anyway own goal, free-kick sio kwamba tulizidiwa kimpira,tulizidiwa zaidi kisaikolojia.
You all need to shut it and wait for Sunday! maneno meengi, nasema pamoja na majeruhi mpira dakika 90 na bado tuna uwezo wa kuwafunga Chelsea tena sana, kama A/villa na Wigan wameweza kwa nini sisi tushindwe? hatutaki mind games hapa tusubiri j/pili. Na naamini nitaingia hapa jamvini kwenu kifua mbele!!!!
Hongereni sana ,watoto walianza kupiga sana kelele ,mara 4-3-3
Masanilo!!! Belo atakuwa kafa kwa mshtuko au kaamua kujinyonga. ila kwa Mashabiki wa the gunners nilipenda kuwaambia msihuzunike sana kwa sababu babu yenu alishasema kikosi chake ni cha ushindani na sio cha ubingwa.
Hongera sana watani...AB-Tichaz (aka mzee wa mapicha), Masanilo (aka mzee wa Zenj), Peasant, Mvina (aka mzee wa ugimbi), Eglypz etc! Huu mpambano bado ni asubuhi kabisa.....tutajipanga upya.........!
Masanilo!!! Belo atakuwa kafa kwa mshtuko au kaamua kujinyonga. ila kwa Mashabiki wa the gunners nilipenda kuwaambia msihuzunike sana kwa sababu babu yenu alishasema kikosi chake ni cha ushindani na sio cha ubingwa.
Taratibu wewe mimi ni MAN UNITED sio hao watoto wa chekechea,
Tuanawafuata mkipotea stepu tu kama kawaida
Vile vitoto visubiri kukuwa!