Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,556
Hujui hata kikosi chenu? Anaitwa Fabio Borini kuna kina Gael Kakuta,Nemanja Matic na wengineo
Chelsea
Bolini si sawa na Borini, ndo maana nilikuuliza Bolini ni mchezaji mpya!
Hujui hata kikosi chenu? Anaitwa Fabio Borini kuna kina Gael Kakuta,Nemanja Matic na wengineo
Chelsea
Point yangu ilikuwa mchezeshe hata wale wengine walioko kwenye kikosi chenu si kung'ang'ania kina Terry,Lampard,Anelka i mean first eleven mkasahau kuwa mnao wengine wanaohitaji kucheza pia na kuonyesha vipaji vyao.Bolini si sawa na Borini, ndo maana nilikuuliza Bolini ni mchezaji mpya!
Point yangu ilikuwa mchezeshe hata wale wengine walioko kwenye kikosi chenu si kung'ang'ania kina Terry,Lampard,Anelka i mean first eleven mkasahau kuwa mnao wengine wanaohitaji kucheza pia na kuonyesha vipaji vyao.
Achana nae hajui anachoongea!
Bolini hayuko kwenye kikosi cha Chelsea! Angecheza vipi mkuu. Fabio Borini kuna mechi huwa anacheza
Kipi ambacho sijui nikiongeacho?Achana nae hajui anachoongea!
Kipi ambacho sijui nikiongeacho?
Heri yenu Arse naona bado "mnaongoza" ligi, au mmeshachukua ubingwa?!...nami 'nasikitika' kweli bana 😀😀😀..., kila mwaka wao kuporomoka tu. angekuwapo Mourinho kidoogo hadithi ingekuwa nyingine...
the fa cup fifth round draw:
Southampton v portsmouth
reading v west bromwich albion
fulham v notts county or wigan athletic
chelsea v cardiff city
bolton wanderers v tottenham hotspur or leeds united
derby county v birmingham city
manchester city v stoke city
wolverhampton wanderers or crystal palace v aston villa
sio draw mbaya sana kwetu.
njia yetu ni nyeupeeeee peeeee.......
Bao la tatu Chelsea 3 Birmigham 0
Naona full shangwe pande hizi..ila chelsea napo fiti japo siwafeel!..
btw, hao arsenal wanakoma unavyowatania...wenzio wana huzuni jamani!..