Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Nice game Chelsik....Hongereni though vijana walijaribu kubana weeeee,lakini wameachia
Nice game Chelsik....Hongereni though vijana walijaribu kubana weeeee,lakini wameachia
Pointi tatu muhimu japo hatujacheza vizuri to be honest.
Pointi tatu muhimu japo hatujacheza vizuri to be honest.
Pointi tatu muhimu japo hatujacheza vizuri to be honest.
Ahsante chief, and I wish you a lucky one point tomorrow.Nice game Chelsik....Hongereni though vijana walijaribu kubana weeeee,lakini wameachia
Kumbe ulikuwepo mkuu...Naona leo kimya kimya..Hongereni sana wakuu
Teh teh teh teh teh we have same number of games, tunawazidi Fat Arse 5 points na Manure 4......Bwabwa1 upo?
Kumbe ulikuwepo mkuu...Naona leo kimya kimya..Hongereni sana wakuu
Kesho si umeniahidi utakuwa upande wetu mkuu(si kutupa pole)....Hata Daudi alidharauliwa mnooo na Goliath lakini mwisho wa siku tunajua nini kilitokea....2-1Mkuu mimi nawapa pole kwa kesho nitakuweo sana kwenye jukwaa lenu nikiwapa pole! Draw kwenu ni ushindi!
Hongera home B...Btw Bwabwa1 ni nani???
That's true chief! Team zinakuwa ngumu sana wakati huu wa lala salama kila moja ikiwa na mission yake! Sisi tumeshamaliza mechi yetu, tusubili hao jamaa kesho wakaangane wenyewe kwa mafuta yao wenyewe!Mkuu game za msimu huu wa lala salama ni kukamiana sana ila kikubwa ni kuhakikisha point tatu zinakuwa kibindoni.Macho na masikio naelekeza hapo kesho.
Nipe tu kwa ufupi kesho unaitathmini kwa jicho la namana gani au ndo utavuta kamba kwako.
Draw itakuwa nzuri kwa Chelsea maana wote mtapoteza point, ikishindikana ni bora Arsenal ashinde maana Manure wana kawaida ya kumaliza msimu kwa kasi.Kesho si umeniahidi utakuwa upande wetu mkuu(si kutupa pole)....Hata Daudi alidharauliwa mnooo na Goliath lakini mwisho wa siku tunajua nini kilitokea....2-1
Kama Vermaelen hachezi?Arsenal 2 Man Utd 1(wafungaji Nasri,Fabregas/Rosicky kwa Arsenal,Rooney kwa Manure) matokeo haya yatakuwa endapo Thomas Vermaelen atacheza(kama S.Campbell ataanzia benchi)😀😀😀😀😀