Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sport-Caro-1_881500a.jpg

Sasa baada ya rufaa ban inakuja vipi fweza kwishnei? Dirisha litafungwa soon. Pensioners watamudu hadi 2012?

nani kakwambia tunafungiwa - sahau chief.

Na ndiyo maana hatuna haja ya kusajiri yeyote katika dirisha dogo - just to prove to you - tumeshinda game zote wakati hawa 4 mastaa wetu hawakuwepo - for your information its ONLY chelsea yenye kikosi ya wachezaji 24 - Ready to play.

kukufafanulia zaidi ni kwanza kila position ina wachezaji 2, na kuna wachezaji wengi wanancheza more that one postion -

Sawa chief - swali lingine?
 
Hana jipya huyo mweleshe labda ataelewa, lakini ni mgumu kuelewa na mwepesi kusahau....kazi unayo kaka, good luck!
 
carousel_footie_2ne_976621a.jpg

john-280_965666a.jpg

Legal gag on Terry 'affair'
lifted today at the High Court

terry180_976650a.jpg

'Cheat' Terry with wife Toni

Chelsick role model .... ... Kwishnei!

Khe khe khe who's insane? The one who refuse to accept the truth.
 
_46962198_008453022-1.jpg

Huyu naye ndio role model wa kina kikojozi et al

khe khe khe
 
john-280_965666a.jpg

Legal gag on Terry 'affair'
lifted today at the High Court

terry180_976650a.jpg

'Cheat' Terry with wife Toni
Chelsick role model .... ... Kwishnei!

Khe khe khe who's insane? The one who refuse to accept the truth.
Who cares?! Tatizo lako ni ny..e mshindo na wivu umekujaa mpaka kooni, maana ulitaka Terry akugonge wewe....kwanini usimuombe yule mmbakaji Van Persie akusaidie shida zako?!
 
Who cares?! Tatizo lako ni ny..e mshindo na wivu umekujaa mpaka kooni, maana ulitaka Terry akugonge wewe....kwanini usimuombe yule mmbakaji Van Persie akusaidie shida zako?!

khe khe khe we have got a member hapa anagongwa tena anatafuta hapa hapa kwenye Chelsick thread khe khe khe khe khe khe

My goodness me, nilifikiri anauza unga bure kumbe wapo hapa hapa anaowasafisha khe khe khe. Abram o Vich hakununua timu peke yake bali na vibaka khe khe khe
 
carousel_footie_new_976729a.JPG

jtmain_976590a.jpg

Team-mates ... John Terry and Wayne Bridge played at Chelsea together and are both England stars

Mafia to the core, baada ya kuuza unga na kupata vijisenti, kaingilia mali za wachezaji wenzake khe khe khe khe next on line peasant himself khe khe khe
 
JT naona kaamua kula uroda kutoka kwa mke wa mchezaji wenzake hehehe!!
 
terry_cara_L_977190a.jpg
terry_cara_R_977231a.jpg

Khe khe khe role model wa Mafia aka Chelsick,
Kikojozi, peasant et al khe khe khe

LOL
 
Moto umewashwa kwa Mafioso wameshikwa ugoni khe khe khe khe wanaangalia kwa mbali tu LOL

Burnley 0-1 Chelsick

Secobd half

Burnley 1 - 1 Chelsick
 
Moto umewashwa kwa Mafioso wameshikwa ugoni khe khe khe khe wanaangalia kwa mbali tu LOL

Burnley 0-1 Chelsick

Secobd half

Burnley 1 - 1 Chelsick

Wacha1 in da house...wapi Invisible,Masanilo na Mkulima a.k.a Peasant????????
 
Watakuja sasa Bunley 1 - 2 Chelsick

Utawaona kesho khe khe khe khe
 
Invisible vipi mambo njoo uangalie timu yako bana Wacha invisibility. Unajua tena Peasant, Kikojozi hawatakawia.

BTW ulianza lini kushabikia Mafioso Chelsick? Usiniambie ulikuwa inaishabikia wakati wa Ken Bates?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom