Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bwabwa1 ndani ya nyumba naona ameitwa kuja okoa jahazi la Aston Village!

Hahaaaaaaaa...Mbavu zangu jamani..Unamkumbuka yule waziri wa habari wa Saddam Hussein(Serikali ya Iraq) kipindi kile US na washirika wanakaribia kuichukua Baghdad???
 
...aaahhh,

hawa 'pretenders' aka Chelski nyie wanawasumbua sana akili eeh?
siku zao zinahesabika. Ubingwa wa EPL hawauchukui ng'o!!!
Mimi hawanipi tabu hawa.

Ngoja nirudi kwenye updates za Egypt Vs Algeria.

Jani hilo baba!
 
Chelsick wezi hawa wanaona tonge karibu kunyang'anywa mdomoni. Tena tunawakaribisha kwa mikono miwili wafuatilie maendeleo ya Premier league.

Usiwajali hawa pimbi wapiga tarumbeta huyo peasant kwanza huu msimu wa kilimo yeye anashirikiana na kikojozi sijui keshamkojolea. Acheni lote mwenyewe analialia itakuwa hawa pimbi uchwara.

Bora umekuja kiongozi....Baelezee hao
 
Hahaaaaaaaa...Mbavu zangu jamani..Unamkumbuka yule waziri wa habari wa Saddam Hussein(Serikali ya Iraq) kipindi kile US na washirika wanakaribia kuichukua Baghdad???

...aaaah, wamemnyonga juzi bana. Comical 'chemical' Ali R.I.P
 
Bwabwa1 ndani ya nyumba naona ameitwa kuja okoa jahazi la Aston Village!
Kapigwa bao tatu za kifundi na ile NJEMBA ya Stoke-on-Trent, sasa naona anahaha kupata dume type ileile ya Stoke.
 
Arsenal-v-Chelsea-Thomas-Vermaelen-own-goal_2391173.jpg
Sisi wachumba wetu ni hawa jamani. Kwa nini twende mbali wakati totoz ziko kona ya pili tu hapo Emirates! Si unamuona Gallas pembeni kulia ameshachanua tayari, kitu live yaani..anamwita Drogba afanye mambo!
 
Yakubu_scores_666x4_947449a.jpg

Vipi hii, si unaona waliolala.
 
Kulikoni? naona watu wametupiga kambi? hii ni dalili kwamba wanatuogopa, Chelskis na Mannures naona mumeunda coallition teh teh teh, wacha tuondoe hizi mechi 3 njiani baada ya hapo ni mteremko tu mpaka kufika May.
IN ARSENE WE TRUST!!

He he he..Kwenye hizi mechi 'kali' nne. Mkijitahidi sana mtapata labda 3/12 points, si mtanambia ?? Kwa maana ingine sasa hivi kwenye hizo gemu 3 zilizobakia points zenu ni 2/9. Kwishnei.
 
...aaahhh,

hawa 'pretenders' aka Chelski nyie wanawasumbua sana akili eeh?
siku zao zinahesabika. Ubingwa wa EPL hawauchukui ng'o!!!
Mimi hawanipi tabu hawa.

Ngoja nirudi kwenye updates za Egypt Vs Algeria.
Afadhali we unamjua bingwa hao wenzio mbona wabishi
 
Arsenal boss Arsene Wenger has admitted he is unlikely to make any signings before the close of the transfer window.
The Gunners missed out to Manchester United
spacer.gif
for the signature of Fulham defender Chris Smalling
spacer.gif
with the England Under 21 international poised to move to Old Trafford in the summer.
Wenger has been strongly linked with a move for a new forward after losing Robin van Persie
spacer.gif
to long-term injury, but the Frenchman has played down the prospect of any new faces arriving in North London before the transfer window shuts on Monday.
Wenger admitted he was disappointed to miss out on Smalling after claiming they were close to landing the highly-rated stopper.
"Manchester United got Smalling in the end. I am sorry because we were very close to getting him and we were on the case very early," said Wenger.
"I wish the player well.
"At the end of the day it is important he has a good career.
"In both clubs he has a good chance to make a great career. The most important thing is he does that."
Asked about any other transfer deals, Wenger noted: "It is not impossible (to sign a player before window shuts), but at the moment it is unlikely

kama hutaki kusajili mkuu,mrudishe simpson kutoka kwenye loan manake ni hatari kubwa kumtegemea ben peke yake kwenye kipindi hiki kigumu.eduardo injury,vela hajakomaa bado na najua ben lazima sidhani kama atakuwa fit kwa mda mrefu.sometimes ubishi wa wenger una tu-cost sana.
 
AW, tunawatundika hawa MANU Jumapili 3-2 hilo halina ubishi kabisa 🙂
 
mkuu tatizo nimeangalia na mbeleni sidhani kama ben ndio jibu.kumbuka tumempoteza RVP.

Usiwe na wasiwasi Mkuu. Kuna wakati tulikuwa nyuma kwa point 11 na "Football analysts" wakawa wameshatuondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha EPL 2010. Waliokuwa mbele yetu wakaanza kuteleza na sisi pamoja na kuwa na majeruhi kibao lakini tukaanza kufanya vizuri mchezo mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuondoa pengo kubwa lilikuwepo. Sasa kama watateleza tena na tukiweza kuzipita hizi wiki mbili kwa mafanikio makubwa basi si ajabu tukawa tunaimba wimbo huu in few weeks. There it is There it is, Why it took us so long to win EPL championship...LOL! 😉

Have a great weekend Bro'

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Q_3_EdxODcY&feature=related[/ame]
 
Usiwe na wasiwasi Mkuu. Kuna wakati tulikuwa nyuma kwa point 11 na "Football analysts" wakawa wameshatuondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha EPL 2010. Waliokuwa mbele yetu wakaanza kuteleza na sisi pamoja na kuwa na majeruhi kibao lakini tukaanza kufanya vizuri mchezo mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuondoa pengo kubwa lilikuwepo. Sasa kama watateleza tena na tukiweza kuzipita hizi wiki mbili kwa mafanikio makubwa basi si ajabu tukawa tunaimba wimbo huu in few weeks. There it is There it is, Why it took us so long to win EPL championship...LOL! 😉

Have a great weekend Bro'

http://www.youtube.com/watch?v=Q_3_EdxODcY&feature=related
mkuu mimi nakuelewa vizuri sana.kinachonichanganya akili ni jinsi kombe liko so open ni kitu kidogo tu pale kuziba pengo la striker na mwali ni wetu.it cant get so open than this trust me.

am already having a good weekend getting couple drinks right now lol.have a good weekend too.
 
Thanks Mkuu nakubaliana nawe kabisa kama AW angeongeza striker mmoja mzuri basi ingekuwa ni motivation kubwa sana kwa wachezaji waliopo maana angeweza sana kusaidia katika mstari wa mashambulizi.
 
Thanks Mkuu nakubaliana nawe kabisa kama AW angeongeza striker mmoja mzuri basi ingekuwa ni motivation kubwa sana kwa wachezaji waliopo maana angeweza sana kusaidia katika mstari wa mashambulizi.
mimi hua nasema kila siku hakuna timu rahisi kuwa striker duniani kama arsenal.kwahio hata angeletastriker on loan angeweza kushine.style yetu ya kucheza mpira simchezo ,ni rahisi mno na ndio maana wengi wakiondoka arsenal wanajikuta wanapata tabu ku-shine kwenye timu zingine.
 
Back
Top Bottom