Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mourinho ni special one?? Thubutu labda kwenu lakini sio kwangu na naenda kaprove hilo. By David Luiz
 
Ni kweli mr. Malafyale na hii inatokea kwa sababu ya kukariri kwa moh. Nahici ana concentrate sana na defence hasa ktk game km ya jana anasahau kama kuna kushambulia.

haters mtachonga sana. game hii psg wameshinda kwa bahati. mara 2 zote tulizowafunga wamechomoa "jioni".
 
Last edited by a moderator:
sikucheki game but nasikia Chelsea walitembeza buti sana ili kuwavuruga PSG lakini wapi,jamaa hawakuvurugika.Nimesoma goal.com chini ya heading "Mourinho's mind games backfire"!

Yah juve2012, km unavyomjua ndugu yetu moh anajifanya anajua sana kucheza na psychology za wapinzani. Kweli jamaa kuna kipindi walionekana kbs kuvurugika hasa baada ya red cad na kuchezewa unfair games but pongez kwa Blanc hasa baada ya kwenda changing rum na kurud, jamaa walionekana wapya kabisa na wakaanza kutandaza soka safi.
 
Dah kiukweli jamaa walikaza si mchezo
 
Attachments

  • 1426139592067.jpg
    1426139592067.jpg
    43.5 KB · Views: 171
To my opinion jana sijaona kama tumepaki basi tulishambulia ila tu psg waliweza kutucontain vizuri na kwa quality walioonyesha sitashangaa akibeba kombe hilo

PSG hawezi beba kombe hili. Nyie ni wazembe.
 
haters mtachonga sana. game hii psg wameshinda kwa bahati. mara 2 zote tulizowafunga wamechomoa "jioni".

Tungesema bahati endapo kama psg wangefanya mashambuliz ya kushtukuza huku Chelsea waki dominate game. Psg walipata red cad na bado chelsea wakapata penat lkn haya yote jamaa walikabiliana nayo. Vp useme bahati badala ya uwezo? Ungea soka uclete mapenzi apa
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
To my opinion jana sijaona kama tumepaki basi tulishambulia ila tu psg waliweza kutucontain vizuri na kwa quality walioonyesha sitashangaa akibeba kombe hilo

Hamkushambulia zaidi ya Costa kucheza rafu,Thiago Mota,David Luiz na Marco Veratti waliwakamata kipa wenu aliokoa magoli mawili ya wazi plus Cavani aligongesha mwamba.All in Jose ndio wa kulaumiwa
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yah juve2012, km unavyomjua ndugu yetu moh anajifanya anajua sana kucheza na psychology za wapinzani. Kweli jamaa kuna kipindi walionekana kbs kuvurugika hasa baada ya red cad na kuchezewa unfair games but pongez kwa Blanc hasa baada ya kwenda changing rum na kurud, jamaa walionekana wapya kabisa na wakaanza kutandaza soka safi.

Sio kweli PSG na wao wamecheza mpira mbovu wa maguvu na rafu ili kuwazuia chelsea wasicheze mpira...na hivi walichoza jana ata ile first leg kule kwao walicheza hivo hivo. maguvu tu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikuona sababu ya Luiz kuuzwa na kubakishwa na watu kama Terry na Cahill, hivi ni kweli hawa wawili wana skillz na power kuliko Luiz?
Jamaa amenikosha sana baada ya kufunga kashangilia na hakuomba msamaha kwa fans wa Chelsea, hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa.
Hongera sana PSG, Chelsea kuweni wapole.

Wakati mwingine mchezaji anauzwa ili timu ipate pesa km tulivopata pesa kwa Luiz, kwahiyo sioni sababu ya wewe kusema hivo mbona nyie mlimuuza Tieri Henry mkakosa kabisa Striker?
 
Sio kweli PSG na wao wamecheza mpira mbovu wa maguvu na rafu ili kuwazuia chelsea wasicheze mpira...na hivi walichoza jana ata ile first leg kule kwao walicheza hivo hivo. maguvu tu.
Yamewakuta leo, miaka yoote mnavyochezaga football ya kihuni kupack basi, kuchelwesha mda nk mlikuwa mnaona sawa. Leo hii timu pinzani ikitumia mikakati kushinda mnabwabwaja...tulieni kimya mnyolewe.
 
wanyolewe mara ngapi kaka?
 
Keep calm and trust mourinho!!!! Tatizo watu wanasahau kuwa cl sio kitu rahisi kihivyo mpaka uchukue inabidi uwe na very matured team, sasa ikumbukwe kuwa hii ni newgen chelsea na haina hata makombe ndo kwanza tumeanza na capito and tusisahau alipotutoa mou, ligi hatujashinda since 2010 but now we are on course to win it hiyo inaonesha namna team inavyodevelop sasa plastic fans mnakuja hapa na kuanza kumtukana mou wakati we were very poor and unstable kabla hajaja.... Cha msingi kuweni wavumilivu msimu huu ligi msimu ujao uefa hiyo ndio trend sio ghafla tu mnataka mbebe kila kitu, psg ni kikosi kilichokomaa kwani wachezaji wake wako pamoja for a long tym xcept luiz
 
Attachments

  • 1426144137512.jpg
    1426144137512.jpg
    44 KB · Views: 143
hahahahahahhahahhahahha liverpool vs chelsea last season toka dakika ya kwanza mlikua mnapoteza muda leo vp mkuki kwa nuruwe
 
Keep calm and trust mourinho!!!! Tatizo watu wanasahau kuwa cl sio kitu rahisi kihivyo mpaka uchukue inabidi uwe na very matured team, sasa ikumbukwe kuwa hii ni newgen chelsea na haina hata makombe ndo kwanza tumeanza na capito and tusisahau alipotutoa mou, ligi hatujashinda since 2010 but now we are on course to win it hiyo inaonesha namna team inavyodevelop sasa plastic fans mnakuja hapa na kuanza kumtukana mou wakati we were very poor and unstable kabla hajaja.... Cha msingi kuweni wavumilivu msimu huu ligi msimu ujao uefa hiyo ndio trend sio ghafla tu mnataka mbebe kila kitu, psg ni kikosi kilichokomaa kwani wachezaji wake wako pamoja for a long tym xcept luiz

Point ni kwamba mourinho being home,kuwa na advantage ya away goa at first leg plus psg kuwa na nyekundu kwa kocha mwenye akili chelsea walipaswa wadominate game muda mwingi na wasiwaruhusu psg kukaa na mpira kwa yoyote mwenye akili angetumia mbinu hyo,badala yake eti mnaemuita special 1 anafanya sub kumuingza zouma how do u explain that?
No excuse kwa kupoteza mchezo wa jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom