Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ina wachezaji wazuri ila kocha anazingua kuwachezesha kukaba na kukariri kuwa fulani ndo yeys.
Huyu kipa kaonesha kushindwa mechi nyingi anaachia magoli kizembe. First leg kipa ndo alituua, kwa man city huyu huyu kipa ndo akatuua pia. Yaani Chelsea ikitangulia kwa goli moja lazima tufungwe iwe draw au tushambuliwe sana siku hiyo.
Ona mechi ya Westham tulivyoshambuliwa mwishoni. Everton pia walitushambulia sana.
Costa si mchezaji kabisa yaani bora Remy mara mia. Hazard anatumika sana anajitahidi ila wanamwangusha maana mbele hakuna mtu wa kumpokea ili wafunge. Wing ya juu wanamtegemea sana Ivanovic kutoa Cross.
Kule kina Willian na Oscar walishashindwa,
Terry akapumzike, Cahill akapumzike Cech bado ni kipa bora mara mia zaidi ya huyu Mrembo pale golini.
Tuache cheza mcheza wa kudefend sana. Tutafute wachezeshaji wazuri kama Fabre
Costa tumtoe hata kwa mkopo ili akajifunze.
Mou nae aondoke maana mfumo wake Strikers hawatakuwa wanafunga milele

Mkuu leo Costa hamna kitu? Mbona mwanzoni mwa msimu alimwagiwa misifa tele, sio kwamba Josee hawezi kumtumia au mfumo wake Costa hauelewi?
Cech kumbe bado yupo, mimi nilijua ni majeruhi au kaenda kwa mkopo, nakubali kabisa kwamba Cech ni kipa mzur na ni vema kwa Game ngumu kama hii angeanza yeye, Game ngumu za ndani ndo acheze huyu dogo.
 
DavidLuiz.jpg

CC Wacha1 kazi hizi ngumu rudi bana khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Unaiweza kazi yake, alikufundisha kazi vizuri... umerithi na kicheko pia. Sasa cheka bila sauti....Akikusikia Kalou umeumia!!
 
quote_icon.png
By successor

Hii game haitakuwa ngumu kama watu wanavyotarajia, ila ina tension kubwa.

Itakuwa nyepesi sana kwetu Leo tunawapiga 2-0. cc@Nonda

Kweli mmewapiga 2 lakini ulisahau kutaja mtapigwa ngapi?

Naomba ufute hiyo 0 na uweke 2. Halafu uungane na wenzako katika maombolezo.
 
Mimi sikuona sababu ya Luiz kuuzwa na kubakishwa na watu kama Terry na Cahill, hivi ni kweli hawa wawili wana skillz na power kuliko Luiz?
Jamaa amenikosha sana baada ya kufunga kashangilia na hakuomba msamaha kwa fans wa Chelsea, hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa.
Hongera sana PSG, Chelsea kuweni wapole.

Hata kama mimi siombi msamaha maana kila akigusa mpira wanamzomea lakini mwisho wa siku wote wamenyamaza na wamelala na viatu sasa hivi. Hahahahha
 
Nzi

Hujamwona Oscra the diver?!?!

Unapa andika tulia na acha kukurupuka,huyo mchezaji uliyemtaja hapo labda anachezea Yanga!!

Kuibeza Chelsea kutolewa CL kwa shabiki wa team ambayo hata hajui lini watarudi CL ni uhayawani!Mashindano yenu ya kimataifa kwa sasa ni Chev mkienda USA kwenye pre season

Nilikuambia Arsenal anakupiga ikawa hivyo;nakuambia tena Tots anakupiga Jumapili na mkija kwa majogoo mnachapwa
 
Last edited by a moderator:
Kasajiliwa leo kwenye klabu ya divers na racists...

Hata mwakani utashangilia sana teams za nje ya Uingereza kwa chuki zako binafsi sababu team yako haiwezi qualify!Man U bye bye CL!
Ntuzu kalou Manumbu nipo na nyie ktk kipindi hiki kigumu kwenu sababu hata mm mwakani kwenye CL yanaweza nipata haya!
 
Last edited by a moderator:
Nzi

Hujamwona Oscra the diver?!?!

Unapa andika tulia na acha kukurupuka,huyo mchezaji uliyemtaja hapo labda anachezea Yanga!!

Kuibeza Chelsea kutolewa CL kwa shabiki wa team ambayo hata hajui lini watarudi CL ni uhayawani!Mashindano yenu ya kimataifa kwa sasa ni Chev mkienda USA kwenye pre season

Nilikuambia Arsenal anakupiga ikawa hivyo;nakuambia tena Tots anakupiga Jumapili na mkija kwa majogoo mnachapwa

Vua kwanza viatu usilale navyo, teh teh teh jamaa walikua 11 au 9? Huna mbinu yaani umezoea kukariri una defense hadi team ikiwa pungufu? Mwenzako Bayern alivyokuwa sio mtu mzuri Donestk katolewa m1 kapigwa na jamaa WEEK nzima.
 
Last edited by a moderator:
Vua kwanza viatu usilale navyo, teh teh teh jamaa walikua 11 au 9? Huna mbinu yaani umezoea kukariri una defense hadi team ikiwa pungufu? Mwenzako Bayern alivyokuwa sio mtu mzuri Donestk katolewa m1 kapigwa na jamaa WEEK nzima.

Mkuu mm ni JOGOO la Anfield lkn kwenye CL na support wenzangu wa Uingereza
 
Yani nalala usingizi hauji kabisa....mara naamka nataka kushangilia najikuta niko kitandani!!! Nimefurahi sana leo...sasa kesho naanza watafuta wakaanga sumu wote waniambie kilichowasibu leo...khe kheeeeeee khee!! David luizzzzz!!!
 
Hata mwakani utashangilia sana teams za nje ya Uingereza kwa chuki zako binafsi sababu team yako haiwezi qualify!Man U bye bye CL!
Ntuzu kalou Manumbu nipo na nyie ktk kipindi hiki kigumu kwenu sababu hata mm mwakani kwenye CL yanaweza nipata haya!

Wewe unaelekea kudata....angalia usije kuanza kuokota makopo tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom