everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Mtani kalale mwaya....
Mtani kwa neno lako nalala ila kitanda kipana shemejiyo kasafiri,mtoroke bibi uje basi.......
Mtani kalale mwaya....
khaaa nini kinaendeleaMtani kwa neno lako nalala ila kitanda kipana shemejiyo kasafiri,mtoroke bibi uje basi.......
Chelsea ina wachezaji wazuri ila kocha anazingua kuwachezesha kukaba na kukariri kuwa fulani ndo yeys.
Huyu kipa kaonesha kushindwa mechi nyingi anaachia magoli kizembe. First leg kipa ndo alituua, kwa man city huyu huyu kipa ndo akatuua pia. Yaani Chelsea ikitangulia kwa goli moja lazima tufungwe iwe draw au tushambuliwe sana siku hiyo.
Ona mechi ya Westham tulivyoshambuliwa mwishoni. Everton pia walitushambulia sana.
Costa si mchezaji kabisa yaani bora Remy mara mia. Hazard anatumika sana anajitahidi ila wanamwangusha maana mbele hakuna mtu wa kumpokea ili wafunge. Wing ya juu wanamtegemea sana Ivanovic kutoa Cross.
Kule kina Willian na Oscar walishashindwa,
Terry akapumzike, Cahill akapumzike Cech bado ni kipa bora mara mia zaidi ya huyu Mrembo pale golini.
Tuache cheza mcheza wa kudefend sana. Tutafute wachezeshaji wazuri kama Fabre
Costa tumtoe hata kwa mkopo ili akajifunze.
Mou nae aondoke maana mfumo wake Strikers hawatakuwa wanafunga milele
Kuna mtu za Chelsea zilifurahi mlipotolewa FA na ile timu yangu ya Shamba, Bradford na zilisema zitapata muda ya kujiandaa vizuri kwa CL.
Mmekuwa mnamsifia Mou kuwa ni kocha wa makocha, sasa leo imetokea bahati mbaya tu.
Mimi nimefurahi sana leo kwa Chelsea kupewa ile dawa ambayo kwa kawaida huwa inapenda kuwapa timu pinzani.
Pelekeni basi gereji, likitoka huko msili-pack ovyo ovyo...waenda kwa miguu, taxi, malori na mabasi mingine pia yanataka kutumia barabara.
heri nisiongee,morinho basi tumi naona sawa tu mwaka jana si ilikuwa 3-3 chelsea akanufaika this time psg nao wamenufaika.
Leo PSG amewamwagia maji wamepenzi na washabiki wa Chelsea na naona hata Mou,Domo-Mropokaji amekuwa kama kuku aliyenyeshewa na mvua ya masika.Thx mkuu.
Ongea bana ila usifungue ile kamusi ya kalou....tumia kamusi ya kawaida. Kamusi ya JF!heri nisiongee,morinho basi tu
Jamaa anaishia ongea kwa media wakati wenzao wanafanya zoezi. Huu ni ujinga ambao hatutakiwi kuukubali kamwe huyu jamaa anatuharibia timu na Costa lake
Kitendo cha David Luiz kuwafunga Chelsea ni kizuri sana...it was a bullet of a head!
Mourinho ajifunze...kama alivyojifunza juzi LvG kwa Danny Welbeck!
wote tunashabikia uingereza,ila nye mnafurahi wenzenu watole,tusubiri premier league uzuri wenu tuone kama mtamaliza top 4
Hebu tazama huu ukuta. Maxwell, Silva, luiz, marquinhos wote wabrazil, tazama akili inavyotumika hapo kuliko nguvu. Baada ya hapo unakutana na muitaliano marco verrat watu wa tuff. Hapo atapata wapi nafac ya kufunga
mkuu!! kalale utaelewa asubuhi,