Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Point ni kwamba mourinho being home,kuwa na advantage ya away goa at first leg plus psg kuwa na nyekundu kwa kocha mwenye akili chelsea walipaswa wadominate game muda mwingi na wasiwaruhusu psg kukaa na mpira kwa yoyote mwenye akili angetumia mbinu hyo,badala yake eti mnaemuita special 1 anafanya sub kumuingza zouma how do u explain that?
No excuse kwa kupoteza mchezo wa jana
I think blame yote mimi ningewatupia wachezaji. Mou did his best kupanga kikosi best kushambulia na kukaba.
Wachezaji walichezea sana mipira kuhangaika kupiga chenga kama Arsenal huku hawamjaribu kipa.
Zouma aliingia kucheza namba sita ya Matic kwani alihofia kuwa atapata kadi plus fatigue. And Zouma did a fairly good job.
Heads up Chelsea...lets now go for the EPL...UCL next season!!!