ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
what a spit..
what a spit..
Nimeamini EPL ni ligi yenye mvuto ila bureee kabisa.
Fly Emirates in QF, Samsung out. Kwa mantiki hii Arsenal nao wataingia next week.
Cc Haters Belo, Nzi, DonDonald,Mndengereko, RRONDO,Bulldog, Malafyale,Ntunzu nk
Mwakani wakati msimu huu ulikuwepo ukatia aibu
Kinacho waangusha Chelsea nowdays ni foward yao imekua butu sana!Beki yao ndiyo sasa inafunga
Leo wamecheza chini ya kiwango na hii hutokea ktk soka
Ni kweli mr. Liverpool na hii inatokea kwa sababu ya kukariri kwa moh. Nahici ana concentrate sana na defence hasa ktk game km ya jana anasahau kama kuna kushambulia.