Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu eti nasikia watu wanasema kuna sheria ya kwamba nchi nzima timu zake zimeshindwa kuingia hatua ya robo idadi ya timu inapunguzwa hadi timu tatu baadala ya nne. je kuna ukweli wowote wakuu??
 
Point ni kwamba mourinho being home,kuwa na advantage ya away goa at first leg plus psg kuwa na nyekundu kwa kocha mwenye akili chelsea walipaswa wadominate game muda mwingi na wasiwaruhusu psg kukaa na mpira kwa yoyote mwenye akili angetumia mbinu hyo,badala yake eti mnaemuita special 1 anafanya sub kumuingza zouma how do u explain that?
No excuse kwa kupoteza mchezo wa jana

Matic Ni majeruhi Na Obi Ni majeruhi sasa unataka kusema nani angeingia ktk hiyo nafasi ya kiungo mkabaji? Mbona mnaongea vitu msivyovijua? We unafikiri Matic km angekua mzima angeweza kutolewa Jana?
 
Unamtetea bure tu swahiba kocha wenu jana kachemka alipaswa ahamasishe wachezaji kukaba kwa spidi tena ktk zone ya psg coz wako pungufu sio wasubirie mpk wawafuate

Uliona hand gestures zake? Sidhani kama unaweza kusema hivyo!
 
Brother Morinho asikitishwa na babies wake....! ha ha aaha ha ha aaaa ! Taratibu naona anaelekea kuwa specialist wa kushidwa...oh samahani ....babies 'walikufa' kiume jana...wakicheza na 10 brave men PSG.
 
Matic Ni majeruhi Na Obi Ni majeruhi sasa unataka kusema nani angeingia ktk hiyo nafasi ya kiungo mkabaji? Mbona mnaongea vitu msivyovijua? We unafikiri Matic km angekua mzima angeweza kutolewa Jana?

Tatizo haikuwa kutoka Matic bali Jose alishindwa kubadili tactic baada ya jamaa kuwa pungufu mkawa mnacheza like mko 11 vs 11 kibaya zaidi mkarelax mnaona droo inatosha.Hii game ilikuwa unamtoa Costa ambae alishapanic kuanzia mwanzo anaingia super sub Schurle sio Drogba kwa sasa hawezi badili game kama hizo .Ukiacha Hazard kule mbele wote walichemsha
 
Kuna points fulani sioni mkizisema ingawa naona Manumbu amegusia. Kwa kifupi mpira WA Jana ulikua Ni mbaya kwa pande zote. Na psg walikua hawana njia ingine ya kuwazuia Chelsea zaidi ya kuwachezea rafu. Hilo walifanya kwao huko France Na Jana ndio ikawa hivyo kabisa. Sasa hapa ktk mazingira haya ntakushangaa wewe kusema Hazard alichemka. Huu mpira ulitawaliwa Na mambo Mengi sn Na vurugu nyingi.
Bado nafanya tathimini Na kupitia habari mbalimbali nitakuja hapa tujadili Hilo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna points fulani sioni mkizisema ingawa naona Manumbu amegusia. Kwa kifupi mpira WA Jana ulikua Ni mbaya kwa pande zote. Na psg walikua hawana njia ingine ya kuwazuia Chelsea zaidi ya kuwachezea rafu. Hilo walifanya kwao huko France Na Jana poa ndio ikawa hivyo kabisa. Sasa hapa ktk mazingira haya ntakushangaa wewe kusema Hazard alichemka. Huu mpira ulitawaliwa Na mambo Mengi sn Na vurugu nyingi.
Bado nafanya tathimini Na kupitia habari mbalimbali nitakuja hapa tujadili Hilo.

Mentor na mashabiki wote wa chelsea sehemu ya kuweka malalamiko yenu ni humu sitaki malalamiko hapa

haya lawama humu
Malalamiko pongezi na ushauri
 
Last edited by a moderator:
Wakuu eti nasikia watu
wanasema kuna sheria ya kwamba nchi nzima timu zake zimeshindwa kuingia
hatua ya robo idadi ya timu inapunguzwa hadi timu tatu baadala ya nne.
je kuna ukweli wowote wakuu??

ni kweli lakini si kwa mwaka mmoja kama inavotaka kutokea kwa england.. atleast itokee mara 3 mfululizo au mara tim kutofika mbali kama italy ilivotokea kunyang'anywa nafasi yake na ujerumani
 
Kuna points fulani sioni mkizisema ingawa naona Manumbu amegusia. Kwa kifupi mpira WA Jana ulikua Ni mbaya kwa pande zote. Na psg walikua hawana njia ingine ya kuwazuia Chelsea zaidi ya kuwachezea rafu. Hilo walifanya kwao huko France Na Jana ndio ikawa hivyo kabisa. Sasa hapa ktk mazingira haya ntakushangaa wewe kusema Hazard alichemka. Huu mpira ulitawaliwa Na mambo Mengi sn Na vurugu nyingi.
Bado nafanya tathimini Na kupitia habari mbalimbali nitakuja hapa tujadili Hilo.
Ntuzu Mentor Manumbu kalou Viol na #WanaChelsea wote poleni sana na dhahma za jana
Pamoja na hiyo pole bado lawama ni zenu na Jose Mourinho, mlianza vizuri sana game ila baada ya card ya magumashi ya Ibra mkabweteka, hamkuonesha kama mnataka ushindi
Mnacheza na watu 10, kwa nini asiingie Remy akacheze na Costa muwaongezee headache kina Luiz? Kwanini msiwafanyie mashambulizi ya kufa mtu hao jamaa na vile walikua na uhaba wa mtu mmoja? Ukiangalia stats za ile match, PSG had an upper hand in almost kwenye kila kitu
Halafu wachezaji wenu wamekua na tabia mbaya naweza sema za kike za kulialia kwa waamuzi na kuwashinikiza kufanya maamuzi, that's not sportsmanship, shame on you. Matokeo yake mkacheza hovyo kuliko mlivyotegeme,
I have a feeling kwamba Ibra asingetolewa mlikua na chance kubwa sana ya kushinda match kuliko alivyotoka, maana psychologically mlirelax sana baada ya ile card ndio maana jana kwa mara ya kwanza nimeona Chelsea ikidefend kona hovyo kabisa, Luiz kapiga free header, wakati wa kona ya goli la Silva wachezaji wa Chelsea walikua wanakabana wenyewe, kipa alitoka akasita, palepale alipotoka ndio goli lilipoingilia.
Mkirelax na kwenye EPL msiba utakua mkubwa zaidi, bulk up!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu eti nasikia watu wanasema kuna sheria ya kwamba nchi nzima timu zake zimeshindwa kuingia hatua ya robo idadi ya timu inapunguzwa hadi timu tatu baadala ya nne. je kuna ukweli wowote wakuu??

Ni kweli, kama timu zote za Uingereza zitatolewa nafasi yake ya kuingiza timu nne CL na nafasi hiyo itachukuliwa na Ufaransa. Nchi tatu tu ndo uingiza club nne CL na mara nyingi nchi za Uingereza, Hispania na Italy ndo waliokuwa na hiyo chance kwa sababu timu zake kufanya vizuri kila msimu. Lakini kuanzia 2011 nafasi ya Italy ilichukuliwa na Ujerumani baada ya timu zake kuanza kuboronga kwenye michuano hii. Kwahyo timu Asernal na Man U kaeni chonjo maana mtaanza kugombania big 3 na sio big 4 tena😛
 
Kuna points fulani sioni mkizisema ingawa naona Manumbu amegusia. Kwa kifupi mpira WA Jana ulikua Ni mbaya kwa pande zote. Na psg walikua hawana njia ingine ya kuwazuia Chelsea zaidi ya kuwachezea rafu. Hilo walifanya kwao huko France Na Jana ndio ikawa hivyo kabisa. Sasa hapa ktk mazingira haya ntakushangaa wewe kusema Hazard alichemka. Huu mpira ulitawaliwa Na mambo Mengi sn Na vurugu nyingi.
Bado nafanya tathimini Na kupitia habari mbalimbali nitakuja hapa tujadili Hilo.

Naona unachanganya mambo nimesema Hazard ndio alicheza vizuri kule mbele (Oscar/Willian,Costa,Drogba,Cesc) wote walichemsha.PSG baada ya kuwa pungufu ndio iliwaongezea morali,Ukiangalia statistics Chelsea walicheza rafu nyingi kuliko PSG

Kosa la Jose ni kutokubadilisha system(Hii ni moja ya sifa kubwa ya Jose,yuko flexible kubadili mfumo) baada ya ile kadi aliridhika badala ya kuongeza nguvu na ku-take advantage ya upungufu wa PSG
 
Mourinho;

Baada ya ibrahimovich kutoka walichofanya PSG no kupunguza tempo ya game cha ajabu chelsea nao wakaiga hio style ya kupiga pasi fupi huku wanatembea! Slow tempo iliwafavor PSG coz walikuwa wachache wasingeweza Ku run around.

Kama Chelsea wangeongeza temp wale PSG wangechoka around 70th minute hivi na Chelsea kushinda kirahisi! Unaenda extra time na time iko pungufu hata tofauti haionekani! Kuna issue hapo!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo haikuwa kutoka Matic bali Jose alishindwa kubadili tactic baada ya jamaa kuwa pungufu mkawa mnacheza like mko 11 vs 11 kibaya zaidi mkarelax mnaona droo inatosha.Hii game ilikuwa unamtoa Costa ambae alishapanic kuanzia mwanzo anaingia super sub Schurle sio Drogba kwa sasa hawezi badili game kama hizo .Ukiacha Hazard kule mbele wote walichemsha
Schuller alishauzwa kwa Wolfsburg ya Germany.Mourinho kama kawaida yake haonagi mbali, ni kocha wa kudonoadonoa na kubahatisha. Dogo Schuller ni mbaya ila Mourinho hakuwa anampa nafasi sababu sio defensive minded mpira anaochezesha Mourinho
 
Mourinho siku hizi ni mfanyabiashara mzuri kuliko hata Wenger,Schurle hakupaswa kuuzwa alikuwa mfungaji mzuri hasa akitokea sub,hakukuwa na sababu ya kumuingiza Drogba mwenye miaka karibia 40 kwenye game ngumu kama ile.Hana ile kasi na nguvu za miaka ya nyuma
 
Baada ya ibrahimovich kutoka walichofanya PSG no kupunguza tempo ya game cha ajabu chelsea nao wakaiga hio style ya kupiga pasi fupi huku wanatembea! Slow tempo iliwafavor PSG coz walikuwa wachache wasingeweza Ku run around. Kama Chelsea wangeongeza temp wale PSG wangechoka around 70th minute hivi na Chelsea kushinda kirahisi! Unaenda extra time na time iko pungufu hata tofauti haionekani! Kuna issue hapo!

Wachezaji wa Chelsea wamechoka sana, hii sio ile Chelsea ya Nov/Dec probably ni kutoka na Mourinho kutokufanya rotation ya kutosha.
Fabregas, Costa, Oscar, Cahill, Ivanovic wamepungua sana kasi yao, hasa hasa Fabregas kadrop kuliko hao wote, na hivi Fabregas ndiye anayeset team's tempo adapodrop the whole team drops with him. Ilitakiwa akina Oscar na Willian wampunguzie mzigo Fabregas kipindi hiki lakini wapi
Jana kiungo wa Chelsea aliyekua anacheza vizuri alikua Ramires peke yake, alikaba, kutibua, kudribble na kujaribu kutafuta goli, wengine wote walikua below par, nilitegemea kumuona mtu kama Cuadrado au Remy waingie to inject some pace lakini Mourinho alivyokua boya kawaingiza Zouma na Drogba, yaani hawa ndio wakaslow zaidi game ya Chelsea
We all know that Jose and Didier are baddies, lakini huu uswahiba wao unaicost team, Remy sijui kamkosea nini Jose, labla wenye team kina Manumbu mna majibu
 
Last edited by a moderator:
Mourinho;1

Aaaaah Mourinho can you ni jinsi nilivo na furaha kwa chelsea kutoka?

Game ya jama acha kabisa bhanaa, Chelsea walivyo wajinga hata mashambulizi hawakuwa wakifanya.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, kama timu zote za Uingereza zitatolewa nafasi yake ya kuingiza timu nne CL na nafasi hiyo itachukuliwa na Ufaransa. Nchi tatu tu ndo uingiza club nne CL na mara nyingi nchi za Uingereza, Hispania na Italy ndo waliokuwa na hiyo chance kwa sababu timu zake kufanya vizuri kila msimu. Lakini kuanzia 2011 nafasi ya Italy ilichukuliwa na Ujerumani baada ya timu zake kuanza kuboronga kwenye michuano hii. Kwahyo timu Asernal na Man U kaeni chonjo maana mtaanza kugombania big 3 na sio big 4 tena😛

Wanaweza wakabebwa kutokana na mashabiki wengi watapunguza uangaliaji wa UEFA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom